Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi. Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini.
BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI YA CCM TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akimkabidhi boksi la vyombo na zawadi ya sh. 10,000 mmoja wa viongozi 912 wa matawi wa ya CCM na jumuiya zake wa jimbo hilo, katika hafla ya kutoa mkono wa Idd el Fitr Dar es Salaam jana. Kila mmoja alipata zawadi kama hiyo. Katika boksi hilo kuna vikombe, birika, vijigo, sahani na chupa ya chai. Katikati ni mke wa mbunge huyo, Mariam Mtemvu.
Mtemvu akimkabidhi Mwenyekiti wa UWT CCM tawi la Mji Mpya Kata ya Buza, Temeke.
Naibu Meya wa...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...

 

9 years ago

GPL

NAPE ATOA SHUKRANI KWA WAKAZI WA MTAMA, AAHIDI KUTOWAANGUSHA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa kata ya Majengo wakati akiwasili kwenye eneo la mkutano wa kuwashukuru wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi kwenye mchakato wa kura za maoni.   Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndio mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA MADHEHEBU KUOMBEA UADILIFU KWA VIONGOZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (wa pili  kulia), akiongozana na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani,  Askofu Ted Wilson (wapili  kushoto),  Waziri wa Kilimo, Mhe. Stephen  Wassira (kushoto), pamoja  na  Mchungaji Blasius Luguri, Mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Utume  kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mhe. Membe alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe za ufungaji Kongamano la Kimataifa la Utume kwa Kanisa la...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kone atoa ‘darasa’ la kodi

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amewataka Watanzania na hasa walipakodi, kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali za kuziba pengo kubwa kati ya mahitaji ya rasilimali fedha na mapato.

 

9 years ago

Mtanzania

Nape: CCM itazuia mafuriko kwa kidole

napeNA SARAH MOSSI, LINDI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho kina uwezo wa kuzuia mafuriko hata kwa kidole, achilia mbali mikono.

Nape ambaye ni mgombea ubunge Jimbo la Mtama mkoani Lindi, alisema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Nyangao na kuhudhuriwa na mgombea mwenza  wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan.

Katika mkutano huo, Nape aliwabeza wanachama waliowania nafasi ya urais kupitia CCM na ubunge, kisha wakatemwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani