Mgombea Ubunge Temeke (CCM) Mtemvu ahaidi neema akichaguliwa tena
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa tatu kulia) na Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Mgombea Mwenza Urais CCM ahaidi neema kwa wajasiriamali Dar
MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetenga kiasi cha fedha kitakachotumika kama dhamana ili wajasiliamali mbalimbali wa jijini Dar es Salaam waweze kudhaminiwa kwenye mabenki na kupewa mikopo ili kuendeleza biashara zao.
Bi....
10 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJINI AHAIDI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA
9 years ago
MichuziKesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza
10 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AHAIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
10 years ago
Michuzi17 Jul
MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI

Katibu wa vijana umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...
11 years ago
MichuziMTEMVU AZINDUA OFISI ZA UWT-CCM KATA YA VITUKA,TEMEKE
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI YA CCM TEMEKE
10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI


Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...