Washutumiwa kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu
WAMILIKI wa shule na vyuo visivyo vya Serikali, wamelalamikia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu mashuleni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Wanafunzi wasio na uwezo kulipiwa ada
SERIKALI kupitia halmashauri zote nchini ina mpango wa kuwasaidia na kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo. Kauli hiyoilitolewa bungeni jana na Waziri wa Elimu na...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Wanafunzi waaswa kujali nidhamu
10 years ago
Michuzimiss tanga 2014 awasaidia vifaa vya shule wanafunzi wasio na uwezo
Shule ambazo zilipata nafasi ya kutembelewa na Mrembo huyo na kufanikiwa kupata vifaa hivyo ni ni shule ya msingi Pangani,Funguni, Mwela na shule ya msingi Mwembeni ambazo zote zinapatikana katika wilaya hiyo ya Pangani,huku vifaa...
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Saba wakamatwa kwa kulea watoto Moshi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu saba wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa vituo vitatu vilivyogundulika kuhifadhi watoto 147 kwa siri Katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alitoa taarifa hiyo jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema kwamba, watu hao wanashikiliwa kwa kosa la kulea watoto katika mazingira hatarishi na kusababisha wengine wasiendelee na masomo kinyume cha...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Kituo cha kulea tembo yatima kina tija kwa Taifa?
10 years ago
MichuziJWTZ lasherehekea Miaka 50 kwa kuvisaidia vituo vya kulea watoto yatima
10 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
UN yawafutwa kazi 5 kwa utovu wa nidhamu