Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAOSOMESHWA KWA ADA NAFUU WAMIMINIKA


Baadhi ya wanachuo wa Mlimani School of Professional Studies cha jijini Dar es Salaam, wakiwa darasani. Na Mwandishi Wetu Vijana kutoka mikoa mbalimbali wamezidi kumimika kutumia fursa ya kujipatia masomo ya ngazi ya chuo inayotolewa na Chuo cha Mlimani School of Professional Studies cha jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa chuo hicho Hassan Ngoma alisema idadi ya wanaojitokeza kujiunga na mpango huo maalumu wa kuwasaidia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DC Temeke aipongeza shule ya Twayyaibat kwa ada nafuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMKUU wa wilaya Temeke, DC Sophia Mjema, ameipongeza shule ya Sekondari ya Kiislamu inayojulikana kama Twayyaibat Islamic Seminary Secondary School kwa kufanya ada nafuu inayoweza kuwafanya wazazi na walezi wamudu gharama za kusomesha watoto kwenye shule binafsi.
mwanafunzi kutoka Twayyibat Islamic Seminari akisoma Quraan katika shule hiyo walipotembelewa na Mkuu wa Wilaya Temeke, Sofia Mjema, hayupo pichani.
DC Mjema aliyasema hayo alipofanya ziara katika shule...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAMIMINIKA KWA MTABIRI

Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
MAJANGA! Wakati vuguvugu la kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais likiendelea, imegundulika kuwa wagombea wengi  wa urais wamekuwa wakimiminika kwa mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya, (pichani) maeneo ya Magomeni Mwembechai jijini Dar  es Salaam kwa ajili ya kutabiriwa safari yao hiyo, Ijumaa lina mkanda kamili. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya. Gazeti hili...

 

10 years ago

CloudsFM

Hawa ndiyo watoto wa mitaani wanaosomeshwa na msanii cyrill Kamikaze

Msanii wa Bongo Fleva, cyrill Kamikaze ameamua kurudisha fadhila kwa jamii baada ya kuamua kuwasomesha watoto wa mitaani walioshindwa kusoma kutoka na wazazi wao kutowasomesha kwa sababu mbalimbali ikiwemo ada ya shule.Msanii amefunguka kuwa watoto hao alikutana nao alipokuwa kwenye shughuli za kikazi mkoani Mbeya na watoto hao wanaanza kusoma katika shule iliyopo mkoani humo.Akizungumzia atawasomesha hadi elimu gani alisema kuwa hadi uwezo wake utakapoishia.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAMIMINIKA KWA WINGI NA KUJIUNGA NA MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU WA GEPF

p2Bw Aloyce Ntukamazina Meneja Masoko kutoka katika Mfuko wa GEPF akifafanua jambo kuhusu  mafao yatolewayo na Mfuko wa GEPF katika maonesho ya wakulima ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Themi Njiro, Arusha.p1Mwanachama mpya akipata maelekezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa GEPF kutoka kwa Afisa wa GEPF Bi Jane Rutashobya katika maonesho ya wakulima ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Themi Njiro, Arushap4Afisa Masoko Clement Oningo akitoa maelezo kuhusu shughuli za Mfuko...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

‘Muwashitaki wanaofukuza wanafunzi kwa ada’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameagiza wazazi kuwashitaki walimu wakuu na wakuu wa shule wanaofukuza wanafunzi kutokana na kushindwa kulipa ada au michango mingine.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ :Marufuku wanafunzi kurejeshwa nyumbani kwa ada

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar,  Zahra Ali Hamad SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka walimu wakuu kuacha tabia ya kuwasumbua na kuwarudisha shule wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kulipa ada ya mwaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyuo vikuu marukufu kutoza ada kwa dola

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imepiga marufuku vyuo vikuu kutoza ada kwa dola kwa wanafunzi Watanzania wanaosoma katika vyuo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani