Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hawa ndiyo watoto wa mitaani wanaosomeshwa na msanii cyrill Kamikaze

Msanii wa Bongo Fleva, cyrill Kamikaze ameamua kurudisha fadhila kwa jamii baada ya kuamua kuwasomesha watoto wa mitaani walioshindwa kusoma kutoka na wazazi wao kutowasomesha kwa sababu mbalimbali ikiwemo ada ya shule.Msanii amefunguka kuwa watoto hao alikutana nao alipokuwa kwenye shughuli za kikazi mkoani Mbeya na watoto hao wanaanza kusoma katika shule iliyopo mkoani humo.Akizungumzia atawasomesha hadi elimu gani alisema kuwa hadi uwezo wake utakapoishia.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAWA NDIYO WASHINDI WA TUZO ZA BET 2015

Diddy na Lil Kim wakifanya makamuzi katika utoaji tuzo za BET 2015. Janet Jackson akiwa na tuzo yake. Rihanna katika…

 

9 years ago

Vijimambo

BUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.

Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.

Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...

 

11 years ago

CloudsFM

HAWA NDIYO 'PANYA ROAD' WALIOKAMATWA NA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba, mtaa na maeneo yaliyoathirika kwa hofu ya vijana ambao ni vibaka maarufu kama Mbwa mwitu au Panya Road. Msako huu uliofanyika ndani ya masaa 24 hadi alfajiri ya tarehe 26/5/2014 kwa lengo la kuwaondolea hofu na uhalifu dhidi ya makundi ya vijana wadogo wasio na ajira ambao uliibuka hivi karibuni.Maeneo yaliyoathirika ni Kigogo, Magomeni, Tabata, maeneo yote yanayozunguka mto Msimbazi, maeneo ya Mbagala nk....

 

9 years ago

Michuzi

BUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao  cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Bongo Movies

Eagles Entertainment Kusaka vipaji mikoani, Wahusika Hawa ndiyo Wanahitajiaka

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Yuster Kachara ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Eagles Entertainment ametangaza kuwa kampuni yake inatarajia kusaka vipaji kutoka mikoani zaidi ya mine kwa ajili ya kurekodi tamthilia itayorushwa katika moja ya televisheni kubwa hapa nchini.

“Tunahitaji kupanua wigo wa tasnia ya filamu kwa sasa ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wasanii kutoka mikoani ambao muda mwingi wamekuwa ni watazamaji tu, hivyo tukiwatumia katika tamthilia ni rahisi kushiriki wengi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusiwanyanyapae watoto wa mitaani

HIVI sasa kuna wimbi la watoto wa mitaani katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambao hawana uangalizi  kama walivyo watoto wengine. Ni fursa sasa kwa jamii kujiuliza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya Swansea kumfukuza kazi kocha, hawa ndiyo wanatajwa kuchukua nafasi

image

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Swansea ambayo jana jioni ilitoka taarifa kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Garry Monk (pichani) sababu ikiwa ni kuwa na matokeo wanayopata msimu huu kutowaridhisha viongozi na mashabiki wa timu hiyo.

Baada ya kufukuzwa kazi kwa Monk, tayari baadhi ya makocha wakihusishwa kuchukua nafasi ya Monk ambayo kwa sasa ipo wazi.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Express la Wingereza limeripoti kuwa, Kocha wa klabu ya Rangers ya Wingereza, Mark Warburton na...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa mitaani wanavyobakwa Sumbawanga

>Watoto kulawitiwa ili wapate hifadhi ya kulala au kupewa chakula kizuri ni sehemu ya maisha ya baadhi ya watoto waishio mitaani mjini Sumbawanga mkoani Rukwa

 

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani