Baada ya Swansea kumfukuza kazi kocha, hawa ndiyo wanatajwa kuchukua nafasi
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Swansea ambayo jana jioni ilitoka taarifa kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Garry Monk (pichani) sababu ikiwa ni kuwa na matokeo wanayopata msimu huu kutowaridhisha viongozi na mashabiki wa timu hiyo.
Baada ya kufukuzwa kazi kwa Monk, tayari baadhi ya makocha wakihusishwa kuchukua nafasi ya Monk ambayo kwa sasa ipo wazi.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Express la Wingereza limeripoti kuwa, Kocha wa klabu ya Rangers ya Wingereza, Mark Warburton na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Real Madrid yamtimua kazi Benitez, Zidane kuchukua nafasi yake
Rais wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Florentino Perez akimpongeza Zinedine Zidane baada ya kumtangaza rasmi kocha mpya wa timu ya Real Madrid.(Picha na AFP).
Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia jumanne imetoa taarifa ya kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Rafa Benitez.
Hatua ya Real Madrid kumtikua kazi Benitez imekuja baada ya kupata matokeo ya sare ya goli 2 kwa 2 dhidi ya Valencia hali iliyopelekea uongozi wa klabu...
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
9 years ago
Bongo510 Dec
Swansea City yamtimua kocha wao Garry Monk
![2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082-300x194.jpg)
Klabu ya Swensea City hatimaye imemtimua kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.
Kocha huyo mwenye miaka 36 ameitumikia klabu hiyo zaidi ya miaka 11 akianza kama mchezaji lakini baadaye mwaka 2014 akakabidhiwa timu hiyo kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.
Kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita cha magoli 3-0 dhidi ya Leicester City ulikuwa ndio mchezo wake wa mwisho kama kocha na ameiacha...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZjUBIw6Q5Y/VfbH7s170fI/AAAAAAAH4v8/HrZlqsrgK0k/s72-c/aitv.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhyFQpwENdpBdMYKOxaPB-9kCR5X32Ya2*mrfFh2DC-JQAF-wjjh0hwd7h8gW2ebLSGnwkBnFN0cfDkad7zRx1AB/DIDYNALILKIM.jpg?width=650)
HAWA NDIYO WASHINDI WA TUZO ZA BET 2015
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Laudrup afutwa kazi na Swansea
11 years ago
CloudsFM29 May
HAWA NDIYO 'PANYA ROAD' WALIOKAMATWA NA JESHI LA POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba, mtaa na maeneo yaliyoathirika kwa hofu ya vijana ambao ni vibaka maarufu kama Mbwa mwitu au Panya Road. Msako huu uliofanyika ndani ya masaa 24 hadi alfajiri ya tarehe 26/5/2014 kwa lengo la kuwaondolea hofu na uhalifu dhidi ya makundi ya vijana wadogo wasio na ajira ambao uliibuka hivi karibuni.
Maeneo yaliyoathirika ni Kigogo, Magomeni, Tabata, maeneo yote yanayozunguka mto Msimbazi, maeneo ya Mbagala nk....
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Hawa ndiyo watoto wa mitaani wanaosomeshwa na msanii cyrill Kamikaze
![](http://api.ning.com/files/741FtnVWixbaSUEZxk-tOn83QGr78Cx*SlXGqpoHojJO3NV4ThURKh-H1D1A4ZIdC17VIWtD0KYjFvBEaaVjaINNE46b5WVz/kamikaze1.jpg)
![](http://api.ning.com/files/741FtnVWixaIhK5T5JsBQPUWJMBqkcZrkHfeYy1CMfTpMy7d6CbDHTch*StbiNBzu95F-4pLGh-9HKvPaBNNk9--KbF*81p5/kamikaze1.jpg)