Real Madrid yamtimua kazi Benitez, Zidane kuchukua nafasi yake
Rais wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Florentino Perez akimpongeza Zinedine Zidane baada ya kumtangaza rasmi kocha mpya wa timu ya Real Madrid.(Picha na AFP).
Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia jumanne imetoa taarifa ya kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Rafa Benitez.
Hatua ya Real Madrid kumtikua kazi Benitez imekuja baada ya kupata matokeo ya sare ya goli 2 kwa 2 dhidi ya Valencia hali iliyopelekea uongozi wa klabu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Jan
Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane
![2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762-300x194.jpg)
Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.
Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.
Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.
Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa
9 years ago
Bongo524 Nov
Majibu ya Zinedine Zidane kuhusu kuchukua nafasi ya Rafael Benitez
![2706115700000578-0-image-a-9_1427721283259](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2706115700000578-0-image-a-9_1427721283259-300x194.jpg)
Baada ya mechi ya El Classico pamekuwa na tetesi kwamba Zinedine Zidane huenda akaichukua nafasi ya Rafael Benitez kwenye club ya Real Madrid.
Baada ya mchezaji wazamani wa Barcelona na Brazil Rivaldo ku-post kwenye mtandao wake wa instagram kwamba ni wakati wa Real Madrid kumpa nafasi Zidane ajaribu ku-manage club hiyo kama Pep Gurdiola alivyopewa nafasi na Barcelona.
Waandishi wa habari wamemtafuta Zidane ambae ni kocha wa kikosi cha vijana cha Real Madrid “Castilla” na yeye alijibu...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …
Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane. Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]
The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili23 May
Real Madrid yawasiliana na Benitez
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.
Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Breaking news: Benitez atimuliwa Madrid… Mikoba yake akabidhiwa Zidane
![zizu](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/zizu.jpg)
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Benitez: Ilikuwa heshima kubwa Real Madrid