Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.
Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Haya ndiyo majibu ya Neymar kuhusu kutakiwa na Real Madrid!
Neymar
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Baada ya kipigo cha goli 4 kwa bila kutoka kwa wapinzani wao Barcelona, habari za chini chini zilianza kusambaa kuwa Real Madrid inataka kuweka dau kwa staa wa Barcelona, Neymar.
Tetesi hizo zilidokeza kuwa rais wa Real Madrid, Florentino Perez alikuwa tayari kumuwekea mezani Neymar kitita cha Euro Milioni 190 ili kupata saini ya nyota huyo.
Baada ya tetesi hizo mtandao wa Espnfc umeripoti kuwa Neymar amesema hayupo tayari kujiunga na Real Madrid na jambo...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi ….
Najua bado headlines za Jose Mourinho kuwa ataenda wapi au kuifundisha klabu gani bado zinazidi kushika kasi, je ataenda kuifundisha klabu ya Manchester United au Real Madrid kama inavyoripotiwa au klabu gani. Ukiachana na stori za kujiunga na Man United, mwezi October Rais wa zamani wa Real Madrid Ramon Calderon alimkaribisha kwa mara ya pili Mourinho kujiunga […]
The post Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi …. appeared...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …
Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane. Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]
The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Carlo Ancelotti atimuliwa,Real Madrid
10 years ago
BBCSwahili23 May
Real Madrid yawasiliana na Benitez
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Benitez: Ilikuwa heshima kubwa Real Madrid