Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa
Klabu ya Hispania ya Real Madrid umemtimua kocha wake Rafael Benitez na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji mkongwe mfaransa Zinedine Zidane.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Real Madrid yamtimua kazi Benitez, Zidane kuchukua nafasi yake
Rais wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Florentino Perez akimpongeza Zinedine Zidane baada ya kumtangaza rasmi kocha mpya wa timu ya Real Madrid.(Picha na AFP).
Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa kuamkia jumanne imetoa taarifa ya kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Rafa Benitez.
Hatua ya Real Madrid kumtikua kazi Benitez imekuja baada ya kupata matokeo ya sare ya goli 2 kwa 2 dhidi ya Valencia hali iliyopelekea uongozi wa klabu...
9 years ago
Bongo505 Jan
Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane
![2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762-300x194.jpg)
Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.
Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.
Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.
Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...
10 years ago
BBCSwahili23 May
Real Madrid yawasiliana na Benitez
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.
Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Benitez: Ilikuwa heshima kubwa Real Madrid
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDGU1Nwjfp4I2vxb0cq88l799PdQg9VCE6NS3rFSVTXzaz3mAdyVmvVYgh6G9mASDswULpZIYVENQMRjh0IE80t/benetez.jpg)
RAFAEL BENITEZ ASAINI MIAKA 3 KUINOA REAL MADRID
10 years ago
Bongo503 Jun
Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid