RAFAEL BENITEZ ASAINI MIAKA 3 KUINOA REAL MADRID
![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDGU1Nwjfp4I2vxb0cq88l799PdQg9VCE6NS3rFSVTXzaz3mAdyVmvVYgh6G9mASDswULpZIYVENQMRjh0IE80t/benetez.jpg)
Kocha Rafa Benitez baada ya kutua Real Madrid. KLABU ya Real Madrid imemthibitisha Kocha Rafa Benitez kuwa meneja wao mpya baada ya kutimuliwa kwa kocha Carlo Ancelotti. Zinedine Zidane (kushoto), ambaye ni kocha wa timu B ya Madrid akisalimiana na Benitez. Benitez amesaini mkataba wa miaka mitatu kukinoa kikosi hicho akitokea Napoli inayoshiriki Serie A iliyomaliza ikiwa nafasi ya tano.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo503 Jun
Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid
9 years ago
Bongo505 Jan
Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane
![2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/2FC5C48900000578-3383931-image-a-52_1451919569762-300x194.jpg)
Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.
Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.
Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.
Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-nu-gDTJw6hU/VW7zLgnYAUI/AAAAAAAAB44/n2d896xFpBc/s72-c/rafa-benitez-real-madrid-odds.jpg)
RAFAEL BENITEZ ATANGAZWA RASMI KUA KOCHA MPYA WA REAL MADRID
![](http://3.bp.blogspot.com/-nu-gDTJw6hU/VW7zLgnYAUI/AAAAAAAAB44/n2d896xFpBc/s400/rafa-benitez-real-madrid-odds.jpg)
Madrid imethibitisha kuwa Bneitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …
Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane. Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]
The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Rafael BenÃtez kufukuzwa Real Madrid.
10 years ago
BBCSwahili23 May
Real Madrid yawasiliana na Benitez
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo
Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.
Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid