RAFAEL BENITEZ ATANGAZWA RASMI KUA KOCHA MPYA WA REAL MADRID
Klabu ya Real Madrid imemthibitisha Mhispania Rafael Benitez kama kocha wake mpya zikiwa zimepita siku mbili tangu kocha huyo alipoachana na klabu yake ya zamani ya Napoli.Benitez ambaye ni mzaliwa wa Madrid , ana historia ndefu ndani ya klabu hiyo akiwa amewahi kuichezea akiwa kwenye kikosi cha vijana kabla ya kuwa kocha wa timu za vijana na baadae kikosi cha kwanza akiwa chini ya Vicente Del Bosque.
Madrid imethibitisha kuwa Bneitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo503 Jun
Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid
10 years ago
GPLRAFAEL BENITEZ ASAINI MIAKA 3 KUINOA REAL MADRID
9 years ago
Bongo505 Jan
Rafael Benitez atimuliwa Real Madrid, nafasi yake yachukuliwa na Zidane
Uongozi wa klabu ya Real Madrid hatimaye umemfukuza kocha wake Rafael Benitez ambaye amedumu kwa miezi 7 pekee.
Nafasi ya Benitez imechukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane ambaye awali alikuwa kocha wa kikosi B cha Real Madrid.
Hii ni kutokana na matokeo mabaya kwa timu hiyo, ambapo ilitoka sare 2-2 na Valencia, katika Mechi ya La Liga, sare ambayo imewaacha vigogo hao nafasi ya 3 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid kwa pointi 4.
Tangu atue Madrid, Benitez amekuwa hapendwi...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …
Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane. Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]
The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...
10 years ago
Africanjam.ComMMOJA KATI YA HAWA KUIBUKA KOCHA MPYA WA REAL MADRID
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Rafael BenÃtez kufukuzwa Real Madrid.
10 years ago
BBCSwahili23 May
Real Madrid yawasiliana na Benitez