Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid

Aliyekuwa kocha wa Napoli Rafa Benitez amethibitishwa kuwa Kocha wa Real Madrid katika kandarasi ya miaka mitatu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid

Baada ya kumtimua kocha wake Carlo Ancelotti, klabu ya Real Madrid sasa imemthibitisha ramsi Rafael Benitez kama kocha wake mpya, zikiwa ni siku mbili tu tangu kocha huyo aachane na klabu yake ya zamani, Napoli Madrid imethibitisha Benitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake mara tu baada ya mapumziko baada ya […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAFAEL BENITEZ ATANGAZWA RASMI KUA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Klabu ya Real Madrid imemthibitisha Mhispania Rafael Benitez kama kocha wake mpya zikiwa zimepita siku mbili tangu kocha huyo alipoachana na klabu yake ya zamani ya Napoli.Benitez ambaye ni mzaliwa wa Madrid , ana historia ndefu ndani ya klabu hiyo akiwa amewahi kuichezea akiwa kwenye kikosi cha vijana kabla ya kuwa kocha wa timu za vijana na baadae kikosi cha kwanza akiwa chini ya Vicente Del Bosque.
Madrid imethibitisha kuwa Bneitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …

Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na nafasi yake ichukuliwe na Zinedine Zidane.  Benitez amefunguka na kumshukuru kila mmoja ndani ya Real Madrid. “Kwa sasa nimeondoka Real Madrid kama kocha, napenda kuaga na […]

The post Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid … appeared first on...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MMOJA KATI YA HAWA KUIBUKA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Jina la kocha wa zamani wa Liverpool Rafa Benitez limetajwa kuongoza orodha ya makocha wanaotarajiwa kuwania nafasi ya kumrithi kocha wa sasa Carlo Ancelotti baada ya Mtaliano huyo kuwa hatarini kufukuzwa kazi kwa mujibu wa ripoti kadhaa zilizoonekana kwenye vyombo vya habari .Benitez ambaye kwa sasa anafundisha klabu ya Napoli ya nchini Italia amepewa kipaumbele kama chaguo la kwanza la kurithi nafasi ya Ancelotti na rais wa Real Madrid Florentino Perez ambaye tayari inasemekana kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yawasiliana na Benitez

Mkufunzi wa kilabu ya Napoli Rafael Benitez ameorodheshwa miongoni mwa makocha wataokumrithi Carlo Ancelloti katika kilabu ya Real Madrid.

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo

rafa-benitez-579850

Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.

Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …

Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]

The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Benitez: Ilikuwa heshima kubwa Real Madrid

Rafael Benitez amesema ilikuwa ‘heshima kubwa’ kuwa mkufunzi mkuu wa Real Madrid, siku moja baada yake kufutwa kazi klabu hiyo ya La Liga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani