Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eagles Entertainment Kusaka vipaji mikoani, Wahusika Hawa ndiyo Wanahitajiaka

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Yuster Kachara ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Eagles Entertainment ametangaza kuwa kampuni yake inatarajia kusaka vipaji kutoka mikoani zaidi ya mine kwa ajili ya kurekodi tamthilia itayorushwa katika moja ya televisheni kubwa hapa nchini.

“Tunahitaji kupanua wigo wa tasnia ya filamu kwa sasa ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wasanii kutoka mikoani ambao muda mwingi wamekuwa ni watazamaji tu, hivyo tukiwatumia katika tamthilia ni rahisi kushiriki wengi na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prodyuza: Vipaji mikoani havithaminiwi

IMEELEZWA kuwa licha ya wasanii wengi wa mikoani kuwa na vipaji vya kuimba, lakini hawathaminiwi katika kazi zao. Hayo yalisemwa jana na prodyuza Abdulaziz Issa ‘EiZER BiTZ’ wa mkoani Tabora,...

 

11 years ago

GPL

PROINS KUSAKA VIPAJI MIKONI

Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw. Evans Steven akizungumza na waandishi wa habari juu ya kampeni hiyo. Kulia ni jaji wa mashindano hayo, Single Mtambalike ‘Richie’ na msemaji mkuu, Joshua Moshi. Richie akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Mtanzania

Fella, Baby J kusaka vipaji visiwani Zanzibar

10735529_787253024649300_80706706_nNA MELCKZEDECK SIMON

MKURUGENZI wa Kundi la Mkubwa na Wanawe na Diwani wa Kata ya Kilungule, Said Fella, ameelekeza nguvu zake Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya wasanii wenye uwezo wa kuimba na kucheza lakini wanakosa sehemu ya kuonyesha vipaji vyao.

Katika msako huo wa wasanii, Fella ameongozana na wasanii wawili waliojiunga na kundi lake ambao wana asili ya Zanzibar, Berry Black na mwanadada Baby J, ambao watatumika kama majaji katika kazi hiyo.

“Nashukuru nimepata mapokezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Dar Indian Ocean kusaka vipaji leo

WAREMBO wa Miss Dar Indian Ocean 2014 wanatarajiwa kuchuana kumsaka mwenye kipaji leo usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya Chichi, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...

 

10 years ago

CloudsFM

Paul Makonda kusaka vipaji kupitia Kinondoni Talent Search

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameitisha waandishi wa habari na kutangaza kuwa ameanzisha Kinondoni Talent Search ambayo itahusika kusaka vipaji vya watoto wenye vipaji kama; Kucheza, Kuimba, Kuchekesha na vinginevyo.
Akizungumza na waandishi wa leo alisema; “Kinondoni Talent Search ni mpango wenye lengo kuu la kuwatambua vijana waishio kwenye wilaya ya Kinondoni wenye vipaji vya kuimba, Kuchekesha ambao wengi wao wapo katika mazingira magumu ya kiuchumi jambo linalowafanya...

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA

Baadhi ya washiriki wa shindano la (TMT)wakijadili Script waliyopewa .
Baadhi ya wahudumu wa shindano wakiwa katika meza wakati wa usaili unaoendelea.
Jaji wa shindano hilo la TMT, Haji Salum 'Mboto' akifanya mahojiano na mshiriki wa shindano baada ya kutoka katika chumba maalum cha usaili hatua ya pili.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani