Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prodyuza: Vipaji mikoani havithaminiwi

IMEELEZWA kuwa licha ya wasanii wengi wa mikoani kuwa na vipaji vya kuimba, lakini hawathaminiwi katika kazi zao. Hayo yalisemwa jana na prodyuza Abdulaziz Issa ‘EiZER BiTZ’ wa mkoani Tabora,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Eagles Entertainment Kusaka vipaji mikoani, Wahusika Hawa ndiyo Wanahitajiaka

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Yuster Kachara ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Eagles Entertainment ametangaza kuwa kampuni yake inatarajia kusaka vipaji kutoka mikoani zaidi ya mine kwa ajili ya kurekodi tamthilia itayorushwa katika moja ya televisheni kubwa hapa nchini.

“Tunahitaji kupanua wigo wa tasnia ya filamu kwa sasa ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wasanii kutoka mikoani ambao muda mwingi wamekuwa ni watazamaji tu, hivyo tukiwatumia katika tamthilia ni rahisi kushiriki wengi na...

 

10 years ago

GPL

PRODYUZA IKY ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza Iky akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya mahojiano. Prodyuza Iky akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV online .…

 

11 years ago

GPL

PRODYUZA MANECKY NA MADAI YA KUZAA NA RIYAMA

Na Joseph Shaluwa
NYUMA ya mafanikio ya wasanii wa muziki kuna  wengi wanachangia lakini mara nyingi ni kama hawajulikani. Prodyuza mkali Bongo kutoka AM Records, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’. Hata wakijulikana,sifa huenda moja kwa moja kwa msanii tu.Maprodyuza wana mchango mkubwa sana, maana wakitengeneza ngoma mbaya, mwisho wake ni kwamba msanii hawezi kutoka. Leo hapa
kwenye Exclusive Interview...

 

11 years ago

GPL

PRODYUZA: WEMA ALITAKA NIWE KUWADI

Na Stori: Shakoor Jongo
BAADA  ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara  na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Prodyuza Rashid Mohammed ‘Chid Classic’. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa...

 

11 years ago

GPL

PRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza mkongwe nchini, Ally Baucha akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkongwe huyo ndiye aliyezalisha ngoma kali kama Neila, Fid Q.  Com na Usiulize wa Rado. ...Akipiga picha na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stupid Father yamtoa machozi prodyuza

FILAMU mpya ya ‘Stupid Father’ aliyoicheza marehemu Adam Kuambiana, inamtoa machozi mtayarishaji wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, Denis Ngakongwa, ambaye aliihariri kwa ajili ya kuiingiza sokoni hivi karibuni....

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA PRODYUZA WA 2PAC KUENDELEZA FANI YA MUZIKI

Mtoto  wa Prodyuza maarufu marehemu Tupac Omar Shakur ‘2 Pac’, Zhani Jackson Na Arme Nando Zhani Jackson (20), mtoto wa kike wa prodyuza maarufu wa marehemu Tupac Omar Shakur ‘2 Pac’, Johnny Lee Jackson ‘Johnny J’ aliyemtengenezea ngoma kali kama How Do u Want It, Picture Me Rolling  na albumu nzima ya Me Against the World na All Eyes On Me amefunguka kwamba anatamani kuingia katika...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAJIVUNIA KIBA KUMKUBALI PRODYUZA WAO

Msanii Shaaban Seif ‘Shebbylove’ akiwa katika pozi. Aboubakar Athuman ‘Beckatittle’…

 

11 years ago

GPL

SHEDDY CLEVER; PRODYUZA ALIYEBEBWA NA NYOTA YA DIAMOND

Prodyuza aliyebebwa na nyota ya Diamond, Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever. KILA mtu ana ndoto zake kichwani, ili kuzibadilisha ndoto hizo kwenye uhalisia inahitajika kujitoa kinagaubaga ndipo mafanikio yatakapoonekana. Nasibu Abdull ‘Diamond’akiwa studio. Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever kama anavyofahamika na wengi naye alikuwa ni prodyuza wa muziki mwenye ndoto zake, alitamani kufanya kazi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani