PRODYUZA IKY ATINGA GLOBAL TV ONLINE
Prodyuza Iky akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya mahojiano. Prodyuza Iky akijiandaa kufanya mahojiano na Global TV online .…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLPRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Prodyuza mkongwe nchini, Ally Baucha akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkongwe huyo ndiye aliyezalisha ngoma kali kama Neila, Fid Q. Com na Usiulize wa Rado. ...Akipiga picha na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.…
11 years ago
GPLPRODYUZA WA ‘NUMBER ONE’, SHEDDY CLEVER ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Shadrack Willced Mongi ‘Sheddy Clever’ (kulia) akipozi na Ofisa Masoko wa Global Publishers Benjamin Mwanambuu (kushoto) na Presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. ...Sheddy katika pozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers baada ya kuhojiwa na Global TV…
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mkude Simba (kulia) na Stan Bakora wakipozi katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Mkude Simba a.k.a Kitale akiongea na wanahabari wa Global 'hawapo pichani'.…
10 years ago
GPLNUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…
11 years ago
GPLAMMY NANDO ATINGA GLOBAL NA BAISKELI, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Ammy Nando akiwa katika usafiri wake aliotinga nao Global akijiandaa kuondoka baada ya mahojiano na Global TV Online. Ammy Nando na mdogo wake wakitokomea baada ya mahojiano na Global TV Online.…
10 years ago
GPLCHEGE ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Chege Chigunda 'Mtoto wa Kiumeni' akiwa ndani ya studio za Global TV Online na prizenta Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) jana. Mtangazaji wa Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV, Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) akiongea na Chege Chigunda wakati wa mahojiano.…
10 years ago
GPLMLELA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Staa wa filamu, Yusuph Mlela akiwa katika pozi. Mlela akijibu moja ya maswali aliyoulizwa na waandishi (hawapo pichani). Mlela akiwa katika pozi baada ya mahojiano.…
11 years ago
GPLMAKAMUA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa Bongo Fleva, Mackpaul Sekimanga 'Makamua' akilonga na Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Erick Evarist akimuweka mtu kati Makamua.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAXHSfVG-Ndr76IXro4YNEpzkpe7dqEN1L23-gU7qYfkO5YhSv7mYCXY9yJMIsx*bP-BFR8ARVCmWmyi9vjhWmz/sheddyclever.jpg?width=650)
PRODYUZA WA ‘NUMBER ONE’, SHEDDY CLEVER NDANI YA GLOBAL TV ONLINE IJUMAA HII
PRODYUZA kiwango Bongo aliyetengeneza wimbo wa Number One wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' uliojizolea tuzo 6 za Kili, Shadrack Willced Mongi ‘Sheddy Clever’ Ijumaa hii atakuwa ndani ya Global TV Online! Sheddy Clever ndani ya studio yake ya Burn Records iliyopo Tabata jijini Dar. Sheddy Clever ambaye pia ndiye mmiliki wa studio ya Burn Records iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atafanya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania