PRODYUZA WA ‘NUMBER ONE’, SHEDDY CLEVER NDANI YA GLOBAL TV ONLINE IJUMAA HII
![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAXHSfVG-Ndr76IXro4YNEpzkpe7dqEN1L23-gU7qYfkO5YhSv7mYCXY9yJMIsx*bP-BFR8ARVCmWmyi9vjhWmz/sheddyclever.jpg?width=650)
PRODYUZA kiwango Bongo aliyetengeneza wimbo wa Number One wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' uliojizolea tuzo 6 za Kili, Shadrack Willced Mongi ‘Sheddy Clever’ Ijumaa hii atakuwa ndani ya Global TV Online! Sheddy Clever ndani ya studio yake ya Burn Records iliyopo Tabata jijini Dar. Sheddy Clever ambaye pia ndiye mmiliki wa studio ya Burn Records iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atafanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLPRODYUZA WA ‘NUMBER ONE’, SHEDDY CLEVER ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhk--oiCpaS6KH4BvbwTAKr78mMYi-LI4QKeXMxkTKUGhpz*PMCFSwz*XlIiZLVYE-iVqLo7CrPn7HzC4PM3ZZv1/IMG20140311WA0002.jpg?width=600)
SHEDDY CLEVER; PRODYUZA ALIYEBEBWA NA NYOTA YA DIAMOND
11 years ago
GPLPRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLPRODYUZA IKY ATINGA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
TheCitizen13 Jun
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Sheddy Clever: Mashabiki wamemtosa Diamond
PRODYUZA wa mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseb Abdul ‘Diamond Platinum’, Sheddy Clever, amesema Watanzania ndio wamemuangusha msanii huyo katika harakati zake za kuwania tuzo za MTV MAMA....
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Diamond, Jide, Sheddy Clever wamefungua njia
USIKU wa kuamkia Julai 27, macho na masikio ya wapenzi na wadau wa muziki nchini yalihamia nchini Marekani ambapo kulikuwa na utoaji wa tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA)...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
NAFURAHI KUKOSA TUZO ZA KILI - SHEDDY CLEVER
10 years ago
Bongo503 Oct
Sheddy Clever atayarisha wimbo wa Tiwa Savage na KCEE (Video)