PRODYUZA: WEMA ALITAKA NIWE KUWADI
![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxUBYxPpbnQkTVrFmI6ZE*t7KE7Qn99bVk*KHF6H9ugHAvddrQJq5JMbUqo5SbBcjnHAKY8mgKOnWLDajzuY5fX/wema.jpg?width=650)
Na Stori: Shakoor Jongo BAADA ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Prodyuza Rashid Mohammed ‘Chid Classic’. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Niwe wa mwisho kumpa 5 Malinzi
TANGU uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi uingie madarakani, umekuwa ukifanya hiki na kile kwa lengo la kuyafikia malengo yake ya kuinua kiwango...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Bayi: Uwindaji ulinifanya niwe mwanariadha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*tpL0LX2RaxEPPRx6Q0pcR9wzjmf34ODdqtRAPUnkgw7hqeg0aqKG2uj8W4Czrh*jRoF1z--o72Zip0OmKWiiq/Wolper.jpg)
WOLPER: BORA NIWE FUNDI NGUO
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Loveness: Natamani niwe mkufunzi wa michezo
9 years ago
Mwananchi23 Dec
‘kuandika habari za siasa kumenifanya niwe mbunge’
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Mr. Blue: Tangu niwe na familia nimebadilika sana
HERRY Sameer maarufu kama Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya nchi.
Alipata umaarufu baada ya kutoa wimbo uitwao ‘Mr. Blue’ ambao ulimjengea jina katika tasnia ya muziki wa Bongo fleva na kuendelea kutoa nyimbo nyingine kama Mapozi zilizofanya vizuri kwenye chati za muziki huo.
Kazi za Mr.Blue bado zinakubalika ikiwa siku hizi amejikita zaidi kwenye muziki wa Hip Hop akiwa na kundi lao la...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Prodyuza: Vipaji mikoani havithaminiwi
IMEELEZWA kuwa licha ya wasanii wengi wa mikoani kuwa na vipaji vya kuimba, lakini hawathaminiwi katika kazi zao. Hayo yalisemwa jana na prodyuza Abdulaziz Issa ‘EiZER BiTZ’ wa mkoani Tabora,...
10 years ago
Bongo Movies12 Jul
Shilole: Nuh Mziwanda Amenifanya Niwe Msichana Mwema
Shilole amesema yeye ni ‘bad girl gone good’ thanks kwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole anadai Nuh amembadilisha na kumfanya kuwa msichana mtulivu Muimbaji huyo amesema kabla ya kukutana na Nuh Mziwanda alikuwa ‘walu walu.’
Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Shilole amesema Nuh amembadilisha kwa kiasi kikubwa na kwamba hajawahi kusaliti penzi lao. Shilole akiwa kwenye kipindi cha Mkasi “Kabla sijawa na Nuh ndio nilikuwa walu walu, yeye ndio amenibadilisha.
Baada ya kukutana naye...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Stupid Father yamtoa machozi prodyuza
FILAMU mpya ya ‘Stupid Father’ aliyoicheza marehemu Adam Kuambiana, inamtoa machozi mtayarishaji wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, Denis Ngakongwa, ambaye aliihariri kwa ajili ya kuiingiza sokoni hivi karibuni....