Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘kuandika habari za siasa kumenifanya niwe mbunge’

“Wakati nikiwa mwanafunzi, sikuwahi hata kuota ndoto kama kuna siku nitakuwa mbunge, fikra hizo zilinijia wakati nikiwa mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi nilipobobea kuripoti habari za siasa na uchaguzi.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta

Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.

Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...

 

5 years ago

Michuzi

JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.

Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.Mjumbe wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Christopher Ole Sendeka akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake leo 28 Agosti, 2014. Mjumbe wa Kamati Namba Tatu ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis Michael akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Mjumbe wa Kamati Namba Nne…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma

PIX 1

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amevitaka vyombo vya habari nchini kuacha uchochezi na chuki wakati vinapohabarisha umma kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya.

Kauli hiyo nimetolewa leo na Mhe. Sitta wakati alipokutana na baadhi ya waandishi wa habari katika viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

PROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI

Na Mwandishi Maalum  – Maelezo
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...

 

10 years ago

Habarileo

TSN yaahidi kuendelea kuandika habari za wananchi

Muuza magazeti, Halima Mussa akizungumza wakati wa mkutano baina ya mawakala, wauza magazeti na Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd kilichofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Mroki Mroki).KAMPUNI ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Ltd imesisitiza kuendelea kujikita zaidi katika kuandika habari za wananchi zisizojadili watu.

 

5 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAOMBWA KUANDIKA MAMBO MAZURI YANAYOFANYWA NA SERIKALI

 Rais wa  Umoja wa klabu za Waandishi wa Habari Tanzania(UTPC)Deo Nsokolo akiongea na waandishi wa Habari wa mka wa Ruvuma(hawapo Pichani)jana wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa waandishi hao juu ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari wa mkoa huo sambamba na utoaji wa vifaa mbalimbali ikiwemo Sanitizer,Barakoa na Sabuni kwa Waandishi wa Habari,katikati Katibu Mkuu wa Chama hicho Andrew Chatwanga.Rais wa Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI WATAKIWA KUANDIKA HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI

DSC_0017Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA unaoendeshwa kwa pamoja na mashirika ya Umoja wa Mataifa UNICEF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani