Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loveness: Natamani niwe mkufunzi wa michezo

Licha ya kuwa ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Sanaa kwa shule za Sekondari (Umisseta) ya msimu huu, Loveness Daudi amekuwa akitumika kama mchezaji kiraka wa Kanda ya Ziwa Magharibi katika mchezo wa netiboli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Niwe wa mwisho kumpa 5 Malinzi

TANGU uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi uingie madarakani, umekuwa ukifanya hiki na kile kwa lengo la kuyafikia malengo yake ya kuinua kiwango...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pochettino ni mkufunzi wa Tottenham

Tottenham wamemwajiri Pochettino kuwa mkufunzi wao mpya.

 

11 years ago

GPL

PRODYUZA: WEMA ALITAKA NIWE KUWADI

Na Stori: Shakoor Jongo
BAADA  ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara  na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Prodyuza Rashid Mohammed ‘Chid Classic’. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa...

 

10 years ago

GPL

WOLPER: BORA NIWE FUNDI NGUO

Shani Ramadhani Na Mayasa Mariwata/Amani
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji. Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ akipozi. Akizungumza na Amani, Wolper alisema ameamua kujikita huko kwa sababu ameona Bongo...

 

10 years ago

Mwananchi

Bayi: Uwindaji ulinifanya niwe mwanariadha

Alivunja rekodi ya dunia kwa dakika tatu  katika mbio za mita 1,500 kwenye Michezo ya  Madola huko New Zealand.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkufunzi wa Fifa atajwa Yanga

Mkufunzi wa Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Henry Tandau ametajwa kuchukua nafasi ya katibu mkuu wa klabu ya Yanga iliyoachwa wazi na Benno Njovu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Simpson amlalamikia mkufunzi wake

Mwanariadha maarufu wa Jamaica, Sherone Simpson amekana kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni zilizopigwa marufuku

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA DADA YAKE LOVENESS MAMUYA


Watanzania  tujumuike na dada yetu Loveness Mamuya, na kuhudhuria msiba wa  kifo cha  dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI kilichotokea leo alfajiri Tanzania.

Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya.

 kama ilivyo mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

ADDRESS:  1005 Meandaring way Odeton MD 21113

NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437

       AZIZI: 301-768-9195  


Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema...

 

10 years ago

CloudsFM

DIVA LOVENESS KULA X-MASS NA WATOTO YATIMA

Mtangazaji wa Clouds Fm,Diva Loveness anatarajia kula sikukuu ya X-Mass na watoto yatima wa kituo cha Homeless Children kilichopo Kigamboni,jijini Dar chenye jumla ya watoto 130.
Diva alisema kuwa pamoja na kula nao pia atatoa misaada na vifaa mbalimbali vya shule kwa watoto hao.

Mtangazaji huyo ambaye ameandaa tukio maalum kwa ajili ya kuwakumbuka na kusherehekea maisha ndugu zetu waliotutangulia mbele iitwayo lighters itakayofanyika Club Maisha amesema asilima 25 ya mapato itapelekwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani