Stupid Father yamtoa machozi prodyuza
FILAMU mpya ya ‘Stupid Father’ aliyoicheza marehemu Adam Kuambiana, inamtoa machozi mtayarishaji wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, Denis Ngakongwa, ambaye aliihariri kwa ajili ya kuiingiza sokoni hivi karibuni....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Stupid Father yahujumiwa
FILAMU ya Stupid Father iliyotarajiwa kusambazwa mwanzoni mwa wiki iliyopita, imeghushiwa na kuingizwa sokoni kabla ya wahusika kufanya hivyo na kusababisha iliyo halali isisambazwe. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
JB akunwa na Stupid Father
MKONGWE wa maigizo ya filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ amekunwa na sinema mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa ‘muvi’ za Bongo, marehemu Adam Kuambiana iitwayo ‘Stupid Father’ inayotarajiwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Stupid Father, Mr. Kadamanja kuchuana
FILAMU mbili zinazosambazwa na Kampuni ya 5 Effect Movies Ltd, ‘Mr. Kadamanja’ na ‘Stupid Father’ ambazo zote zilichezwa kwa ustadi na aliyekuwa mwongozaji na muigizaji, marehemu Adam Kuambiana, zinashindanishwa na...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Stupid Father yaingia sokoni
HATIMAYE filamu ya Stupid Father iliyogushiwa na wafanyakazi wa kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, imeingizwa sokoni kimya kimya huku waliofanya kosa hilo wakikabiliwa na kesi ya kuisababishia hasara kubwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mr. Kadamanja kuinadi Stupid Father
FILAMU ya ‘Mr. Kadamanja’ inayofanya vizuri sokoni, imeonekana kuinadi sinema mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji mahiri wa filamu za Bongo, marehemu Adam Kuambiana iitwayo ‘Stupid Father’. Wakizungumza kwa...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Kuambiana kuonekana kwenye Stupid Father
FILAMU mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa sinema za Bongo, Marehemu Adam Kuambiana, itwayo ‘Stupid Father’ inatarajiwa kuingizwa sokoni hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima jana, mmoja wa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Stupid Father kukamilishwa mwezi huu
FILAMU mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji wa sinema za Bongo, Adam Kuambiana, iitwayo ‘Stupid Father’ ipo mbioni kukamilika na kuingizwa sokoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
5 Effects yatimua wawili sakata la Stupid Father
KAMPUNZI ya 5 Effects Movies Ltd imewafukuza kazi wafanyakazi wake wawili wanaotuhumiwa kuiba filamu ya Stupid Father na kuiingiza sokoni kinyemela na kuahidiwa kulipwa haki zao zote zinazohitajika. Akizungumza na...
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Chupi inayobana yamtoa m'bunge bungeni