Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAJIVUNIA KIBA KUMKUBALI PRODYUZA WAO

Msanii Shaaban Seif ‘Shebbylove’ akiwa katika pozi. Aboubakar Athuman ‘Beckatittle’…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ALI KIBA APATA PIGO, WASANII WAKE WAWILI WAMKIMBIA


Charles James, Michuzi TV

PIGO! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wawili, Killy na Cheesy kutoka Lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Supastaa, Ali Kiba kutangaza kujitoa kwenye lebo hiyo.

Taarifa za kujitoa kwa wakali hao zimeanza kusambaa leo baada ya wasanii hao wenyewe kuandika kwenye mitandao yao ya Instagram lakini hawajaweka sababu za kujitoa kwao.

" Naitwa Ally Killy maarufu kama Lilly nikijulikana kama msanii wa Kings Music Records, napenda kuwajulisha fans wangu wote waliokua...

 

11 years ago

Bongo5

Ali Kiba:Nawasaidia wasanii wachanga kutokana na mateso ambayo nimepata

Msanii wa muziki, Ali Kiba amefunguka kwa kusema kuwa anapenda kufanya kollabo na wasanii wachanga ili kuwasaidia kimuziki kwa sababu yeye mwenyewe alipata shida sana kutoka kimuziki. Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds Fm, Ali kiba alisema wakati anataka kutoka kimuziki alitamani kutafuta wasanii wakubwa wa kufanyanao kollabo lakini alishindwa. “Napenda kuwasaidia kutokana […]

 

9 years ago

Mtanzania

Salabi: Wakenya ‘hawasapoti’ wasanii wao

NA MWANDISHI WETU

MWANAMUZIKI wa muziki wa asili kutoka Kenya, Mandela Salabi, amewataka mashabiki na wadau wa muziki wa Kenya kuwatia moyo wasanii wao wanapotumbuiza katika matamasha ya nchini humo kama wafanyavyo Watanzania kwa wasanii wao.

Salabi amesema mashabiki wa muziki nchini Kenya wengi wao hawatoi hamasa wala hawajali wakifanyacho wasanii wao katika maonyesho yao tofauti na mashabiki wa Tanzania wakati wote huonekana kuvutiwa na kifanywacho na wasanii wao jukwaani.

“Kwetu Kenya...

 

11 years ago

GPL

WASANII WALIVYOMPA NGUVU MWAKILISHI WAO BUNGENI

Mwakilishi wa wasanii kwenye bunge la katiba, Paul Mtenda akiwa kwenye picha ya pozi Dodoma. Hapa akiwa na mama watoto wake, Vanitha.…

 

9 years ago

Bongo5

BASATA yawashauri wasanii kuwa makini na mashabiki wao

Baraza la Sanaa Taifa, BASATA limewataka wasanii kutumia vizuri mashabiki wa muziki wao ili kujenga muziki wao na sio kubomoa. Katibu mkuu wa BASATA, Godfey Mngereza akiwa na Diamond kwenye mapokezi yake baada ya kutoka Marekani, Alhamis hii Akizungumza na Bongo5 jana, katibu mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza , alisema moja ya vitu vinavyosababisha kutoelewana […]

 

9 years ago

Global Publishers

Wasanii wakongwe wa filamu wamtaka Mwakifwamba  aendelee  kuwa rais wao

1.Kutoka kushoto ni wasanii wakongwe wa kuigiza, Ramadhan Mrisho, Ahmed Olotu (Mzee Chilo) na Salome Sokoni (Mama Abdul.

Kutoka kushoto ni wasanii wakongwe wa kuigiza, Ramadhan Mrisho ‘Mashaka’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ na Salome Sokoni ‘Mama Abdul’.

2.Msanii mkongwe wa maigizo, Salome Sokoni Nonge 'Mama Abdul' aliyoko kulia akitoa ufafanuzi wa jambo.

Msanii mkongwe wa maigizo, Salome Sokoni Nonge ‘Mama Abdul’ aliyeko kulia akitoa ufafanuzi wa jambo.

3.Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.

Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.

4.Mkutano ukiendelea.

Mkutano ukiendelea.

WAKONGWE wa Filamu hapa nchini, wakiongozwa na Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ wamemtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba kugombea tena nafasi yake ya urais kwa mwaka 2015  ili awe...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ashangazwa na club za Kenya kutocheza muziki wa wasanii wao

Miongoni mwa vitu vilivyomshangaza The King Of R&B Bongo, Ben Pol alipokuwa Kenya hivi karibuni ni jinsi muziki wa wasanii wa Kenya usivyopewa nafasi kwenye clubs za huko. Ben Pol ambaye aliungana na wanamuziki wengine wa Afrika katika msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, alisema kuwa alishangazwa kusikia wimbo mmoja tu […]

 

10 years ago

Vijimambo

Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin

 

10 years ago

Bongo5

Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao

Victoria Kimani analihisi joto la hasira kutoka kwa wakenya walioanzisha hashtag #SomeoneTellVictoriaKimani baada ya juzi kuwalalamikia kuwa wamekuwa nyuma kuwaunga mkono wasanii wao. “Life without art is hell….how can the Kenyan youth not have an interest in the arts ? Who robbed us of our self expression?” alitweet Kimani. “Lupita had to travel and be […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani