BASATA yawashauri wasanii kuwa makini na mashabiki wao
Baraza la Sanaa Taifa, BASATA limewataka wasanii kutumia vizuri mashabiki wa muziki wao ili kujenga muziki wao na sio kubomoa. Katibu mkuu wa BASATA, Godfey Mngereza akiwa na Diamond kwenye mapokezi yake baada ya kutoka Marekani, Alhamis hii Akizungumza na Bongo5 jana, katibu mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza , alisema moja ya vitu vinavyosababisha kutoelewana […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzibasata yawashauri wasanii
10 years ago
Michuzi
BASATA LAWATAKA WASANII KUWA TAYARI KUKOSOLEWA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii kuacha tabia ya kulewa umaarufu na kuchukia pale wanapokosolewa kwani kazi yoyote ya Sanaa lazima ikosolewe ili iwe bora na yenye kuvutia.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Lebejo Mngereza wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA linalofanyika kwa mwezi mara mbili siku ya Jumatatu kwenye Ukumbi wa Baraza hilo ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Wasanii wakongwe wa filamu wamtaka Mwakifwamba aendelee kuwa rais wao
Kutoka kushoto ni wasanii wakongwe wa kuigiza, Ramadhan Mrisho ‘Mashaka’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ na Salome Sokoni ‘Mama Abdul’.
Msanii mkongwe wa maigizo, Salome Sokoni Nonge ‘Mama Abdul’ aliyeko kulia akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
WAKONGWE wa Filamu hapa nchini, wakiongozwa na Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ wamemtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba kugombea tena nafasi yake ya urais kwa mwaka 2015 ili awe...
10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
11 years ago
Dewji Blog08 Sep
NHIF yateta na wasanii BASATA
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
Baadhi ya maofisa wa...
10 years ago
Mtanzania14 Sep
Basata kubana wasanii wanaokejeli
NA MWALI IBRAHIM
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaonya wasanii wanaotumia lugha chafu na ukiukwaji wa maadili hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Katibu mkuu wa baraza hilo, Gofrey Mngereza, alisema baraza hilo litachukua hatua stahiki kwa wimbi la wasanii wanaovunja maadili, wanaokaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi zao za sanaa jambo ambalo linazua malalamiko, masikitiko na hofu kwa mashabiki wa kazi za sanaa.
“Lugha zenye maneno machafu ya...
10 years ago
Bongo509 Sep
Nuh Mziwanda adai BASATA wamemalizana na Shilole, wao wakanusha
11 years ago
Michuzi08 Sep
NHIF YAKUTANA NA KUTETA NA WASANII BASATA

