NHIF YAKUTANA NA KUTETA NA WASANII BASATA
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.Msanii aliyeng'ara na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
NHIF yateta na wasanii BASATA
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
Baadhi ya maofisa wa...
10 years ago
GPLNHIF YATETA NA WASANII BASATA
10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
5 years ago
MichuziBASATA YAKUTANA NA WADAU WA SANAA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUJENGA MIPANGO YA PAMOJA
Lengo ni kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kwa kuweka mipango ya pamoja ya utendaji kazi katika mwaka wa fedha 2020/2021.
Katika kikao hiki taasisi hizi mbili zimekubaliana kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo ya kuwajengea uwezo wasanii na wadau wa sanaa...
11 years ago
Michuzibasata yawashauri wasanii
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Basata kubana wasanii wanaokejeli
NA MWALI IBRAHIM
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaonya wasanii wanaotumia lugha chafu na ukiukwaji wa maadili hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Katibu mkuu wa baraza hilo, Gofrey Mngereza, alisema baraza hilo litachukua hatua stahiki kwa wimbi la wasanii wanaovunja maadili, wanaokaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi zao za sanaa jambo ambalo linazua malalamiko, masikitiko na hofu kwa mashabiki wa kazi za sanaa.
“Lugha zenye maneno machafu ya...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Makonda aipongeza Basata kujali wasanii
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amelipongeza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kujali afya za wasanii kwa kuandaa semina maalumu kwa ajili ya kuwaelimisha wasanii umuhimu wa kuwa na bima ya afya.
9 years ago
Bongo512 Oct
BASATA wadai hawana mvutano na wasanii
10 years ago
MichuziBASATA LAWATAKA WASANII KUWA TAYARI KUKOSOLEWA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii kuacha tabia ya kulewa umaarufu na kuchukia pale wanapokosolewa kwani kazi yoyote ya Sanaa lazima ikosolewe ili iwe bora na yenye kuvutia.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Lebejo Mngereza wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA linalofanyika kwa mwezi mara mbili siku ya Jumatatu kwenye Ukumbi wa Baraza hilo ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es...