BASATA wadai hawana mvutano na wasanii
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limesema halina mvutano na wasanii wa muziki bali linawakumbusha kufuata maadili ya kazi yao. Katibu mkuu wa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Godfrey Mngereza (kushoto) akizungumza na Rommy Jones Akizungumza na Bongo5 katika fainali za BSS, Katibu mkuu wa (BASATA) Godfrey Mngereza alisema wasanii wanatakiwa kufanya vitu kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV25 Sep
Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa
Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.
Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...
10 years ago
Bongo510 Mar
Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili
9 years ago
Bongo Movies25 Nov
Wasanii Bongo Movie Hawana Mawazo- Lulu
MWIGIZAJI wa kike wa filamu aghari Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana wala kufikiria mambo makubwa kuhusu wanachokifanya bali ufanya tu kwa sababu wapo na jamii inawaona jambo ambalo anahisi Bongo fleva wamewazidi kuwaza.
“Unawaza kwanza kisha unatenda wasanii wa filamu hawana mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo, leo unakuta wasanii wa Bongo fleva wanatoka nje wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
11 years ago
Michuzibasata yawashauri wasanii
10 years ago
Bongo517 Oct
Wasanii wengi Bongo ni wanaweza, hawana nyota tu — Christian Bella
10 years ago
Mtanzania14 Sep
Basata kubana wasanii wanaokejeli
NA MWALI IBRAHIM
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaonya wasanii wanaotumia lugha chafu na ukiukwaji wa maadili hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Katibu mkuu wa baraza hilo, Gofrey Mngereza, alisema baraza hilo litachukua hatua stahiki kwa wimbi la wasanii wanaovunja maadili, wanaokaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi zao za sanaa jambo ambalo linazua malalamiko, masikitiko na hofu kwa mashabiki wa kazi za sanaa.
“Lugha zenye maneno machafu ya...
11 years ago
Dewji Blog08 Sep
NHIF yateta na wasanii BASATA
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
Baadhi ya maofisa wa...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Lucy Komba: Nimeibua Wasanii Wengi, Baadhi yao Hawana Shukrani
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Lucy Komba amefunguka hayo leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Nimeibua wasanii wengi ila wasio na shukrani wachache, wengine wanakubali na kunishukuru popote wanapoulizwa, nami natanguliza shukrani zangu za dhati na Mungu atawabariki na mtafika mbali zaidi.
Wengine walikuja mikono nyuma na kunipigia magoti kuomba niwaingize kwenye filam na nikafanya hivyo huku wakilalamika wakina fulani wakiwaomba misaada wanawatukana na mimi ndiyo kimbilio lao, kwa...
10 years ago
Habarileo24 Aug
Makonda aipongeza Basata kujali wasanii
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amelipongeza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kujali afya za wasanii kwa kuandaa semina maalumu kwa ajili ya kuwaelimisha wasanii umuhimu wa kuwa na bima ya afya.