Wasanii wakongwe wa filamu wamtaka Mwakifwamba aendelee kuwa rais wao
Kutoka kushoto ni wasanii wakongwe wa kuigiza, Ramadhan Mrisho ‘Mashaka’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ na Salome Sokoni ‘Mama Abdul’.
Msanii mkongwe wa maigizo, Salome Sokoni Nonge ‘Mama Abdul’ aliyeko kulia akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
WAKONGWE wa Filamu hapa nchini, wakiongozwa na Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ wamemtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba kugombea tena nafasi yake ya urais kwa mwaka 2015 ili awe...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
WASANII Wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood leo tarehe 16Th December, 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari ya Maelezo wametoa tamko lao kuhusu kumtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba kugombea nafasi hiyo ambayo alitangaza kutoshiriki kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kijacho uchaguzi huo mwezi huu 2015.
Baada ya salamu hizo kwenu tumekuja hapa kwa tukiwa na ya...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Bongo516 Oct
BASATA yawashauri wasanii kuwa makini na mashabiki wao
10 years ago
Bongo Movies17 Jun
Wako Wapi Wakongwe Kunusuru Tasnia ya Filamu?
UKIMUULIZA msanii wa filamu wa hapa nchini, kama sanaa hiyo inalipa, atakujibu ndio inalipa. Ukibadili swali hilo na kumuuliza matatizo ambayo anakumbana nayo katika sanaa hiyo kila mara, atakwambia wizi wa kazi za wasanii kwa baaadhi ya watu wachache ambao hupenda kufaidika kupitia migongo ya wasanii hao.
Hayo ndio mambo ya haraka haraka ambayo wasanii wengi wameyatambua katika sanaa hiyo ambayo kila kukicha inapata wasanii chipukizi ambapo kuna baadhi yao hufikiri kuwa tasnia ya uigizaji...
9 years ago
Bongo Movies17 Nov
Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe – Mau
MSANII wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.
“Ni utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa...
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Soko Haliuliwi na Wasanii Wakongwe- Monalisa
YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa si kweli kama soko la filamu linauliwa na wasanii wakongwe au ambao wapo muda mrefu bali kuna changamoto nyingi.
kweli kama wasanii wakongwe kuwepo katika game ndio wanaua soko la filamu, toka nakua nimekuwa nikisikia wasanii kama Angelina Jolie ana filamu bado zinauza, kwangu wagombea wa Urais wana deni la kulipa,”anasema Monalisa.
Monalisa anaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa...
10 years ago
Bongo Movies14 May
Mau: Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe
Staa wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.
“Utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa akikupa...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Familia Mkoani Singida yamtabiria mtoto wao kuwa Rais mwaka 2050!
Mzee Nassoro Salum, akiwa mitaani jana na mtoto wake Yusuph ambaye amedai anamjengea mazingira mazuri kuja kuwa Rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2050.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI Watanzania na dunia nzima leo imeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli, familia moja mkoani Singida, imeanzisha rasmi safari ya kumwandaa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane, kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050.
Mtoto huyo...
9 years ago
Bongo526 Oct
Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri