Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri
Mtayarishaji wa muziki, Man Walter amesema wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri kutokana na kushindwa kuendana na mfumo wa muziki wa sasa. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Man Walter alisema wasanii hao wanahitaji ushauri wa ziada ili wafanye vizuri. “Unajua muziki umebadilika sana na wengi wanaoathirika na mfumo huu ni wasanii wakongwe, ndio maana wengi wanashindwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki
Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.
Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...
9 years ago
Bongo510 Dec
Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top
![MB-DOGG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/MB-DOGG-300x194.jpg)
MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.
Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...
10 years ago
GPLWASANII WAKONGWE WAPANIA KUFANYA KUFURU KATIKA UZINDUZI WA KAONE SANAA GROUP NDANI YA DAR LIVE
9 years ago
Bongo514 Nov
Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine
![lollipop2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/lollipop2-300x194.jpg)
Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.
Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.
“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...
10 years ago
Bongo508 May
Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao
9 years ago
Bongo504 Sep
Nahreel aeleza kwanini hajachukua wasanii tofauti na washikaji zake wale wale kufundisha kwenye chuo chake, ‘TIMS’
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Soko Haliuliwi na Wasanii Wakongwe- Monalisa
YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa si kweli kama soko la filamu linauliwa na wasanii wakongwe au ambao wapo muda mrefu bali kuna changamoto nyingi.
kweli kama wasanii wakongwe kuwepo katika game ndio wanaua soko la filamu, toka nakua nimekuwa nikisikia wasanii kama Angelina Jolie ana filamu bado zinauza, kwangu wagombea wa Urais wana deni la kulipa,”anasema Monalisa.
Monalisa anaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa...
9 years ago
Bongo Movies17 Nov
Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe – Mau
MSANII wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.
“Ni utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa...