Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi aeleza kwanini haikuwa rahisi kufanya collabo na kina Wiz Khalifa, Kanye West na Diddy alipokutana nao

Wakazi ni msanii wa Hip Hop wa Tanzania aliyepata nafasi ya kukutana na kupiga picha na mastaa wengi wakubwa wa Marekani. Wakazi na Wiz Khalifa Kutokana na kuonekana akiwa amepiga picha na mastaa kama Wiz Khalifa, Kanye West, Diddy na wengine, amekuwa akiulizwa kama alifanikiwa kufanya collabo hata na mmoja wa mastaa hao. Wakazi na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose

Mrembo na mke wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose alijikuta akibubujikwa na machozi wakati akiongea na umati wa watu kwenye tukio la SlutWalk jijini Los Angeles, Jumamosi iliyopita. Rose, 31, aliandaa tukio hilo ambalo pia mama yake alimuunga mkono ambapo kwenye hotuba yake aliuambia umati kuwa imemchukua muda mrefu kuweza kuwasamehe maex wake Kanye […]

 

10 years ago

Bongo5

Diddy kutengeneza ngoma za Kanye West na wasanii wengine

Diddy ameamua kurudi tena kufanya kile anachokipenda zaidi – utayarishaji wa muziki. Rapper huyo tajiri amesema atafanya hivyo kwa kipindi cha miezi 12 peke yake kabla ya kuendelea na mambo mengine. Miongoni mwa wasanii ambao atashiriki kutengeneza ngoma ni Kanye West. “Yes the rumors are true. It’s been a long time since I had been […]

 

9 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego aeleza sababu za kwanini hajaitoa collabo yake na Runtown wa Nigeria

nay true boy

Kuna kipindi Nay Wa Mitego alitangaza kuwa ana mpango wa kuanza kujitambulisha kwenye soko la kimataifa, kwa kufanya collabo na wasanii wa nje pamoja na kushoot video nje ya Tanzania pia.

nay true boy

Katika mahojiano ya siku za nyuma na Bongo5, Nay alisema tayari amekamilisha collabo na msanii wa Nigeria, Runtown, na alikuwa kwenye mipango ya kutafuta uwezekano wa kufanya kazi na Wizkid an D’Banj.

Wiki hii Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Nyumbani Kwetu’, hata kama hujausikia sina haja ya...

 

9 years ago

Bongo5

Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo

weusi1 (1)

‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.

weusi1 (1)

Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.

“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki

Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.

Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?

Rapper Kanye West pamoja na mke wake Kim Kardashian ambaye kwa pamoja wanatarajia kupata mtoto wao wa pili, wanadaiwa kuwa na mpango wa kuingia studio kufanya collabo! Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Kim ameamua kuanza kujifunza kupiga piano kama sehemu ya maandalizi ya collabo hiyo, na kuwa Kanye ana mpango wa kuachia […]

 

10 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego atoa sababu za kwanini halipishi msanii anayetaka kufanya nae collabo

Kuna baadhi ya wasanii wakubwa wa bongo ambao hulipisha wasanii wadogo wanaowaomba kufanya nao collabo, lakini kwa Nay Wa Mitego mambo yako tofauti. Nay ambaye ameachia video mpya ya ‘Mr Nay’ hivi karibuni, amesema yeye huwa halipishi msanii kwa sababu naye aliwahi kufanyiwa hivyo akiwa anataka kutoka. “Mimi kiukweli kabisa hela nilizonazo zinanitosha, ninazopata zinanitosha […]

 

9 years ago

Bongo5

Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri

Mtayarishaji wa muziki, Man Walter amesema wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri kutokana na kushindwa kuendana na mfumo wa muziki wa sasa. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Man Walter alisema wasanii hao wanahitaji ushauri wa ziada ili wafanye vizuri. “Unajua muziki umebadilika sana na wengi wanaoathirika na mfumo huu ni wasanii wakongwe, ndio maana wengi wanashindwa […]

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kutunga Kanuni haikuwa rahisi’

Mjumbe wa Kamati ya Kanuni ya Bunge Maalumu ya Katiba, Amos Mpanju amesema mabishano ndani ya kamati hiyo yalikuwa makubwa kuliko wananchi walivyoyaona na kuyasikia kupitia luninga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani