Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine
Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.
Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.
“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Hii ndio sababu ya kwanini Malaika haimbi style moja ya muziki

Malaika ni msanii aliyefanya vizuri mwaka huu na wimbo wake Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.
Tayari ana video mpya iitwayo Zogo. Lakini kabla ya nyimbo hizo aliachia wimbo wa Mchiriku uitwao Mwantumu.
“Kwa Tanzania tumezoea kwamba mtu anaimba style moja ya muziki, mwanamuziki huyu limitation yake iko hapa, hawezi kubadilika kufanya kitu kingine cha tofauti, ni hapo hapo tu alipo,” amesema Malaika.
“Lakini kinachonifanya mimi kubadilika na kufanya nyimbo tofauti tofauti ni kutaka...
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki
Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.
Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...
10 years ago
Bongo509 Oct
Barnaba ana majibu ya kwanini hapati tuzo licha ya kuwa mchango wake kwenye muziki unafahamika
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wasanii Bongo Fleva na shoo za sebuleni Ulaya
11 years ago
GPLWAANDISHI WAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA WASANII WA BONGO FLEVA
11 years ago
Bongo519 Aug
Batuli aeleza kwanini mahusiano kati ya mastaa wa Bongo hayadumu