Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Hii ndio sababu ya kwanini Malaika haimbi style moja ya muziki

11313469_850096228421131_180915679_n

Malaika ni msanii aliyefanya vizuri mwaka huu na wimbo wake Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.

Tayari ana video mpya iitwayo Zogo. Lakini kabla ya nyimbo hizo aliachia wimbo wa Mchiriku uitwao Mwantumu.

“Kwa Tanzania tumezoea kwamba mtu anaimba style moja ya muziki, mwanamuziki huyu limitation yake iko hapa, hawezi kubadilika kufanya kitu kingine cha tofauti, ni hapo hapo tu alipo,” amesema Malaika.

“Lakini kinachonifanya mimi kubadilika na kufanya nyimbo tofauti tofauti ni kutaka...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine

lollipop2

Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.

24

Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.

“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)

Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]

The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu inayomkwamisha Walter Chilambo

Baada ya kushinda shindano la BSS miaka miwili iliyopita, Walter Chilambo alitarajiwa na wengi kuja kuwa msanii mwenye mafanikio makubwa. Hata hivyo kipaji chake kinaonekana kutomfaidisha kwa kiasi kilichotarajiwa. Na sasa msanii huyo ametangaza kutafuta management ya kusimamia kazi zake ili kuokoa kipaji chake baada ya kudai kuwa watu wengi waliojitokeza kumsaidia wamekuwa wakimpiga kalenda. […]

 

9 years ago

Michuzi

Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25

Na January MakambaTarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa na vyenye muundo bora barani Afrika, chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matukio mbalimbali kuelekea...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Izzo B aeleza kwanini anazipa uzito video za muziki

Izzo Bizness amesema hujitahidi kuzifanyia video ngoma zake kwakuwa anaamini video za muziki zina nguvu zaidi ya kuupa wigo wimbo. Izzo amekiri kuwa tatizo la wasanii wa hip hop kutozifanyia video nyimbo zao ni sugu na wakati mwingi sio kwamba hawana fedha. Msikilize zaidi akielezea hapo chini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hii ndio sababu dunia inawahitaji 'mabibi wa Instagram'

Achana na kizazi cha miaka ya kuanzia themanini na zaidi, kuna kizazi kipya cha watu wenye ushawishi mkubwa wanaoacha historia kwenye mitandao ya kijamii. Suzi Grant ni mmoja wao.

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani