Video: Izzo B aeleza kwanini anazipa uzito video za muziki
Izzo Bizness amesema hujitahidi kuzifanyia video ngoma zake kwakuwa anaamini video za muziki zina nguvu zaidi ya kuupa wigo wimbo. Izzo amekiri kuwa tatizo la wasanii wa hip hop kutozifanyia video nyimbo zao ni sugu na wakati mwingi sio kwamba hawana fedha. Msikilize zaidi akielezea hapo chini.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Kallage Aeleza Kwanini Ameacha Kufanya Video za Muziki
Mtayarishaji video za muziki na filamu anayeshikilia rekodi ya kushinda tuzo mbili za filamu za TAFA 2015, John Kallaghe amefunguka juu ya sababu za kuacha kufanya video za muziki, kubwa ikiwa ni mabadiliko ya soko na kupungua kwa wawezeshaji katika soko hilo.
Kallaghe ameiambia eNewz ya EATV kuwa soko la utayarishaji video linabadilika kwa kasi kinguvu kazi na kiteknolojia likihitaji vipaji vipya na mtu aliye tayari kwenda kwa kasi hiyo, pili ikiwa ni kuanza kupotea kwa wadau ambao...
9 years ago
Bongo527 Oct
Godzilla aeleza kwanini video ya ‘Stay’ imechelewa kutoka
9 years ago
Bongo523 Nov
Video: Hii ndio sababu ya kwanini Malaika haimbi style moja ya muziki
![11313469_850096228421131_180915679_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11313469_850096228421131_180915679_n-300x194.jpg)
Malaika ni msanii aliyefanya vizuri mwaka huu na wimbo wake Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.
Tayari ana video mpya iitwayo Zogo. Lakini kabla ya nyimbo hizo aliachia wimbo wa Mchiriku uitwao Mwantumu.
“Kwa Tanzania tumezoea kwamba mtu anaimba style moja ya muziki, mwanamuziki huyu limitation yake iko hapa, hawezi kubadilika kufanya kitu kingine cha tofauti, ni hapo hapo tu alipo,” amesema Malaika.
“Lakini kinachonifanya mimi kubadilika na kufanya nyimbo tofauti tofauti ni kutaka...
9 years ago
Bongo514 Nov
Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine
![lollipop2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/lollipop2-300x194.jpg)
Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.
Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.
“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: IZZO BUSINESS ft. MWANA FA & G-NAKO - SHEM LAKE (Official Video)
Published on Dec 17, 2015Official Music video for Shem Lake performed by Izzo Bizness featuring Mwana FA & G-Nako directed by Khalfani Khalmandro ,Tanzania . Produced by Nahreel at The Industry Studio in Dar es Salaam, Tanzania.
You can also Listen and download Shem Lake Audio, Click here
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam...
11 years ago
Bongo522 Jul
Video: Linah azungumzia video ya Ole Themba, aeleza sababu ya kuonesha utamaduni wa kizulu
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015