Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WALIVYOMPA NGUVU MWAKILISHI WAO BUNGENI

Mwakilishi wa wasanii kwenye bunge la katiba, Paul Mtenda akiwa kwenye picha ya pozi Dodoma. Hapa akiwa na mama watoto wake, Vanitha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASANII WA NGUVU MPYA WAJIFUA

Wakicheza ‘scene’ ya ugomvi ambapo msanii (kulia) ameigiza kama mbabe ndani ya scene hiyo. wakicheza scene ya malumbano ambapo wasanii waliosimama pichani, wanamshinikiza kitu msanii aliyekaa. Wasanii wa Kikundi cha Maigizo cha Nguvu Mpya wamekutwa wakijifua kwa kufanya mazoezi mbalimbali kuhakikisha wanafanya vizuri katika kazi zao za sanaa.Kamera yetu iliwatembelea vijana hao… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Salabi: Wakenya ‘hawasapoti’ wasanii wao

NA MWANDISHI WETU

MWANAMUZIKI wa muziki wa asili kutoka Kenya, Mandela Salabi, amewataka mashabiki na wadau wa muziki wa Kenya kuwatia moyo wasanii wao wanapotumbuiza katika matamasha ya nchini humo kama wafanyavyo Watanzania kwa wasanii wao.

Salabi amesema mashabiki wa muziki nchini Kenya wengi wao hawatoi hamasa wala hawajali wakifanyacho wasanii wao katika maonyesho yao tofauti na mashabiki wa Tanzania wakati wote huonekana kuvutiwa na kifanywacho na wasanii wao jukwaani.

“Kwetu Kenya...

 

10 years ago

GPL

WASANII WAJIVUNIA KIBA KUMKUBALI PRODYUZA WAO

Msanii Shaaban Seif ‘Shebbylove’ akiwa katika pozi. Aboubakar Athuman ‘Beckatittle’…

 

10 years ago

GPL

BORA WASANII HAWA BUNGENI!

JOTO la Uchaguzi Mkuu linazidi kupanda miongoni mwa wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya kisiasa, huku idadi kubwa ya wasanii wakionesha nia ya kutaka kuitwa waheshimiwa kuanzia mwishoni mwa Oktoba mwaka huu. Hadi sasa baadhi ya waliotangaza nia ni Joseph Haule (Profesa Jay), Zuwena Mohamed (Shilole), Wema Sepetu, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, Jacob Stephen (JB), Mrisho Mpoto na wengineo kadhaa, wakitaka kwenda...

 

9 years ago

Bongo5

BASATA yawashauri wasanii kuwa makini na mashabiki wao

Baraza la Sanaa Taifa, BASATA limewataka wasanii kutumia vizuri mashabiki wa muziki wao ili kujenga muziki wao na sio kubomoa. Katibu mkuu wa BASATA, Godfey Mngereza akiwa na Diamond kwenye mapokezi yake baada ya kutoka Marekani, Alhamis hii Akizungumza na Bongo5 jana, katibu mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza , alisema moja ya vitu vinavyosababisha kutoelewana […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo. “Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu […]

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi: Wananchi elekezeni nguvu zenu kwa wasanii wengine pia, si Diamond tu!

Rapper Nikki Mbishi ameibuka na kudai kuwataka mashabiki wa muziki wa Tanzania kuwaunga mkono wasanii wengine pia na sio Diamond au wasanii wengine wachache wanaopewa kipaumbele zaidi. Akizungumza kwenye kipindi cha Genge cha EFM leo, Nikki Mbishi alisema wasanii wote wanahitaji kusaidiwa ili wawepo wengi wakubwa. “Hadi leo hii unataka kuniambia kuna super star mmoja […]

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ashangazwa na club za Kenya kutocheza muziki wa wasanii wao

Miongoni mwa vitu vilivyomshangaza The King Of R&B Bongo, Ben Pol alipokuwa Kenya hivi karibuni ni jinsi muziki wa wasanii wa Kenya usivyopewa nafasi kwenye clubs za huko. Ben Pol ambaye aliungana na wanamuziki wengine wa Afrika katika msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, alisema kuwa alishangazwa kusikia wimbo mmoja tu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani