PRODYUZA MANECKY NA MADAI YA KUZAA NA RIYAMA
![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0qRQOjZ1dvaobTSajnrU58*ogNbmDbmBOkRYfJk9BcLg-oX5B0VR0ECBKS7XdTPXHLksPo3zGHVJQKCT-9sXgS/prodyuza.jpg?width=650)
Na Joseph Shaluwa NYUMA ya mafanikio ya wasanii wa muziki kuna wengi wanachangia lakini mara nyingi ni kama hawajulikani. Prodyuza mkali Bongo kutoka AM Records, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’. Hata wakijulikana,sifa huenda moja kwa moja kwa msanii tu.Maprodyuza wana mchango mkubwa sana, maana wakitengeneza ngoma mbaya, mwisho wake ni kwamba msanii hawezi kutoka. Leo hapa kwenye Exclusive Interview...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Dimpoz: Manecky amenisaliti
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amemlalamikia mtayarishaji wa muziki huo, Manecky, kupitia Kampuni yake ya AM Records kutokana na kusambaza kazi yake inayojulikana kwa...
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMJxrKNqOuR-M4fDCPv1x9H*oBGThNbC4V1h-jNEeF2F7BAgNmz*LDit-JsHLN2opGnrrt6IZYC9IDVNyeDzY3v/GGGGHVV.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrXBDSgnS-2sNGPjv8St-h*VQh5tU8NWuDf42EIFp*HK2qVLcET4hC9Yagc1UXnOFzJy103Gvfrv-EbNoryJo9nO/Ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY PENZI ZITO!
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Mapya Yaibuka Kuhusu Rose Ndauka na Manecky
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Rose Ndauka sasa Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’ hii ni baada ya mahusina na mzazi mwenzie, Malick Bandawe kuvunjika.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Amani, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Prodyuza: Vipaji mikoani havithaminiwi
IMEELEZWA kuwa licha ya wasanii wengi wa mikoani kuwa na vipaji vya kuimba, lakini hawathaminiwi katika kazi zao. Hayo yalisemwa jana na prodyuza Abdulaziz Issa ‘EiZER BiTZ’ wa mkoani Tabora,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxUBYxPpbnQkTVrFmI6ZE*t7KE7Qn99bVk*KHF6H9ugHAvddrQJq5JMbUqo5SbBcjnHAKY8mgKOnWLDajzuY5fX/wema.jpg?width=650)
PRODYUZA: WEMA ALITAKA NIWE KUWADI
11 years ago
GPLPRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE