Dimpoz: Manecky amenisaliti
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amemlalamikia mtayarishaji wa muziki huo, Manecky, kupitia Kampuni yake ya AM Records kutokana na kusambaza kazi yake inayojulikana kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMJxrKNqOuR-M4fDCPv1x9H*oBGThNbC4V1h-jNEeF2F7BAgNmz*LDit-JsHLN2opGnrrt6IZYC9IDVNyeDzY3v/GGGGHVV.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrXBDSgnS-2sNGPjv8St-h*VQh5tU8NWuDf42EIFp*HK2qVLcET4hC9Yagc1UXnOFzJy103Gvfrv-EbNoryJo9nO/Ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY PENZI ZITO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0qRQOjZ1dvaobTSajnrU58*ogNbmDbmBOkRYfJk9BcLg-oX5B0VR0ECBKS7XdTPXHLksPo3zGHVJQKCT-9sXgS/prodyuza.jpg?width=650)
PRODYUZA MANECKY NA MADAI YA KUZAA NA RIYAMA
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Mapya Yaibuka Kuhusu Rose Ndauka na Manecky
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Rose Ndauka sasa Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’ hii ni baada ya mahusina na mzazi mwenzie, Malick Bandawe kuvunjika.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Amani, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani...
9 years ago
Bongo505 Oct
Audio: Umeiskia ‘Am Happy’ ya Bob Manecky f/ Quick Rocka, G-Nako, Jux, Ben Pol, Young D na Gelly wa Rhymes?