Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI

Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji. Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI


kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari  ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.

Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo  wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE‏

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la Transaid la nchini Uingereza, hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika leo asubuhi katika viwanja vya NIT. Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Lift ambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na Kampuni ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi Chuo cha KIU watua kwa DC

NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongolamboto jana waliwasilisha malalalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kufanya mgomo kwa vipindi tofauti bila kupata majibu.
Mamia ya wanafunzi hao walifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa saa 6 mchana kwa lengo la kupeleka kilio chao kwa Mkuu wa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadik hata hivyo waligonga mwamba kwa kushindwa kuonana naye.
Baada ya kukosekana kwa Sadik,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA

  Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani