Wanafunzi Chuo cha KIU watua kwa DC
NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongolamboto jana waliwasilisha malalalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kufanya mgomo kwa vipindi tofauti bila kupata majibu.
Mamia ya wanafunzi hao walifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa saa 6 mchana kwa lengo la kupeleka kilio chao kwa Mkuu wa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadik hata hivyo waligonga mwamba kwa kushindwa kuonana naye.
Baada ya kukosekana kwa Sadik,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Apr
Wanafunzi Chuo Kikuu KIU wavunja viti, vioo
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala International University kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, wamefanya fujo na kuvunja viti, vioo na samani zingine za chuo hicho, ikiwa kama njia ya kushinikiza kutatuliwa kwa matatizo yanayowakabili.
10 years ago
MichuziMembe Mgeni Rasmi Mahafali Chuo cha Kampala (KIU)
Mhe. Membe, ambaye alikuwa akihutubia kwenye mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU), Jijini Dar es Salaam leo, aliwataka wanawake kutumia kikamilifu fursa za elimu ya juu ili wajitegemee kiuchumi na kuondokana kabisa na unyanyasaji wa kijinsia.
Alielezea ...
11 years ago
MichuziSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...
11 years ago
GPLSERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)
10 years ago
MichuziPSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA
11 years ago
GPL
WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI
11 years ago
GPL
ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA
9 years ago
Michuzi
WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO
CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...