Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI


kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari  ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.

Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo  wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI

Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji. Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.…

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA

CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA - USAJILI NA. TLF/011P- NAMBA YA KITUO CHA MITIHANI E.643.
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1)   2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013)   3. MAFUNZO...

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA

USAJILI NA.TLF/011P NAMBA YA KITUO CHA MITIHANIE.643.
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015   NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA.   FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA   kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com   REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini. Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua . ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert:WANAFUNZI 212 WA UASKARI CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI WAFUKUZWA BAADA YA KUBAINIKA KUTUMIA VYETI FEKI

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya Polisi mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Kamishna...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE‏

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chuo cha ualimu Ndala chasaidiwa madawati

MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umetoa msaada wa madawati 100 yakiwa na tahamani ya sh milioni 8 kwa Chuo cha Ualimu Ndala wilayani Nzega Mkoa wa Tabora....

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI NA WANANCHI WAFURAHIA BANDA LA CHUO CHA UFUNDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini.Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua.ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani