Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HESLB walipa fedha za mkopo kwa vyuo 16

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema inaendelea kulipa fedha za mkopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini na tayari wanafunzi wa vyuo 16 wameshalipwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HESLB: TUMEANZA MAANDALIZI YA MALIPO KWA WANAFUNZI NA VYUO

Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo yenye jumla ya thamani ya TZS 63.7 bilioni ikiwa ni fedha za chakula na malazi kwa ajili ya robo ya tatu ya mwaka wa masomo 2019/2020 na fedha hizo zitawafikia wanufaika wote kupitia vyuo vyao ifikapo Alhamisi, Mei 28, 2020.

Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano ilisema kuwa hatua hiyo  ya kuanza kufanya malipo inafuatia maelekezo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016

New Picture (4)

Na Mwandishi wetu

Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.

Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...

 

11 years ago

Habarileo

HESLB waagizwa kudai fedha za mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetakiwa kuja na mbinu ya kuhakikisha wanaonufaika na mkopo wa elimu ya juu wanarejesha mkopo ili utumike kwa wanafunzi wengine hivyo kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokosa mikopo hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA WALIPA KISASI MRA MBILI KWA WAFUNGA BUTI WA KAMBI YA MGAMBO JKT

Mshambuliaji Emmanuel Okwi ya Simba, ametoa yake ya moyoni kuhusiana na kikosi chake kuwa na mwendo wa kuyumba.Okwi raia wa Uganda amefunga mabao matatu, hat trick na kuisaidia Simba kuiadhibu Mgambo Shooting kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.Akizungumza na SALEHJEMBE baada ya mchezo huo, Okwi aliwataka mashabiki kuendelea kuwaunga mkono ili washinde zaidi kwa kuwa si nia yao kupoteza.“Kweli matokeo yetu yamekuwa si mazuri, hatuna mwendo mzuri...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wakutana kwa mkopo

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamesema halmashauri hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha unaosababisha vikao vyao kuendeshwa kwa mkopo na kuhatarisha miradi ya maendeleo. Walisema hali hiyo inatokana na fedha zote za ushuru kupelekwa kwanza Hazina.

 

9 years ago

Mtanzania

Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-

6NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.

Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...

 

10 years ago

GPL

FALCAO ATUA CHELSEA KWA MKOPO

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Colombia aliyetua Chelsea, Radamel Falcao. Falcao akiwa Klabu ya Manchester United. MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Colombia, Radamel Falcao ametua rasmi katika Klabu ya Chelsea kwa mkopo wa ada ya pauni…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani