SIMBA WALIPA KISASI MRA MBILI KWA WAFUNGA BUTI WA KAMBI YA MGAMBO JKT
Mshambuliaji Emmanuel Okwi ya Simba, ametoa yake ya moyoni kuhusiana na kikosi chake kuwa na mwendo wa kuyumba.Okwi raia wa Uganda amefunga mabao matatu, hat trick na kuisaidia Simba kuiadhibu Mgambo Shooting kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.Akizungumza na SALEHJEMBE baada ya mchezo huo, Okwi aliwataka mashabiki kuendelea kuwaunga mkono ili washinde zaidi kwa kuwa si nia yao kupoteza.“Kweli matokeo yetu yamekuwa si mazuri, hatuna mwendo mzuri...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Niliyojionea Simba vs Mgambo JKT Tanga
“TULIKUWA tunamsikia tu Mzungu wa Simba. Kumbe ndie huyu, hana lolote,” alisikika mmoja wa mashabiki na wakazi wa Tanga wakati mechi ya maafande wa Mgambo JKT ya jijini hapa dhidi...
9 years ago
Mwananchi09 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Mgambo hukumbuka buti dakika za majeruhi
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Aua mgambo kulipiza kisasi
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikilia Elias Balandese na Faustine Fidel kwa tuhuma za mauaji ya askari mgambo, Shabani Mbadi mkazi wa Kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu kwa kumchoma na...
10 years ago
GPLSIMBA SC YAANGUKIA PUA KWA MGAMBO SHOOTING
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s72-c/IMG_3712.jpg)
Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s1600/IMG_3712.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iRYbrDUfPqk/Uwn-Gn-TwHI/AAAAAAAFPFE/eMIQriaeepY/s1600/IMG_3714.jpg)
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Ukata waitesa Mgambo JKT
KOCHA Mkuu wa timu ya Mgambo JKT, Bakari Shime, amesema ukata wa fedha kwa timu yao umekuwa kikwazo kwa benchi la ufundi kutimiza program za kusuka vizuri kikosi ikiwemo kupata...