Aua mgambo kulipiza kisasi
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikilia Elias Balandese na Faustine Fidel kwa tuhuma za mauaji ya askari mgambo, Shabani Mbadi mkazi wa Kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu kwa kumchoma na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
'Nilimtafuna binadamu kulipiza kisasi'
Alitaka kulipiza kisasi na hivyo kumtafuna binadamu mwenzake kutokana na uchungu alokuwa anahisi. Alitendewa nini?
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Mourinho:'Kulipiza kisasi inakubalika EPL'
Shirikisho la soka nchini Uingereza FA limeweka mfano mbaya kwa kubadilisha uamuzi wa kadi nyekundi aliyopewa beki wa Arsenal Gabriel Paulista kulingana na kocha wa Chelsea Jose Mourinho.
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Israel yaapa kulipiza kisasi kwa Hamas
Israel imeapa kulipiza kisasi dhidi ya wapiganaji wa Hamas wanaotuhumiwa kuwaua vijana watatu wa Israel
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
'Niliula mguu wa adui kulipiza kisasi' CAR
'Nilimdunga kisu kichwani na kummwagia petroli kisha kumteketeza. Baadaye nikaanza kuula mguu wake mmoja kwa mkate hadi kwenye mfupa.'
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zK0XWiXE0jI/U5_Vx5F0wwI/AAAAAAAFrJo/00UttiiyYrw/s72-c/article-2659528-1ED5507100000578-548_636x422.jpg)
marekani yaifunga Ghana 2-1 kulipiza kisasi cha kutolewa nayo mapema mwaka 2010 afrika kusini
![](http://4.bp.blogspot.com/-zK0XWiXE0jI/U5_Vx5F0wwI/AAAAAAAFrJo/00UttiiyYrw/s1600/article-2659528-1ED5507100000578-548_636x422.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p8o9V0D5n2E/U5_V45ejcjI/AAAAAAAFrJw/DYDuJXYpjEI/s1600/article-2659528-1ED4DAD600000578-452_634x413.jpg)
10 years ago
VijimamboSIMBA WALIPA KISASI MRA MBILI KWA WAFUNGA BUTI WA KAMBI YA MGAMBO JKT
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Kijiwe kulipiza kisasa kama Silaha atauawa
BAADA ya kunyaka nyuzi kuwa baadhi ya makada wa Chama cha Mauaji (CcM) kupanga kumnyotoa roho katibu mkuu wa Chakudema Dk. Willy Silaha, Kijiwe kimeamua kutoa msimamo wake kuhusiana na huu mfumo...
10 years ago
Vijimambo26 Jun
CCM wamkataa Maalim Seif barazani, Ni kulipiza CUF kususia Baraza.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/maalim-26June2015.jpg)
Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umeingia katika hatua nyingine baada ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa hoja ya Spika wa baraza hilo ya kumwalika Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, kuhudhuria kuvunjwa kwa baraza hilo leo.
Hali hiyo inaashiria kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaiaf (SUK) iliyoundwa na Chama cha Wananchi (CUF) na CCM baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania