marekani yaifunga Ghana 2-1 kulipiza kisasi cha kutolewa nayo mapema mwaka 2010 afrika kusini
![](http://4.bp.blogspot.com/-zK0XWiXE0jI/U5_Vx5F0wwI/AAAAAAAFrJo/00UttiiyYrw/s72-c/article-2659528-1ED5507100000578-548_636x422.jpg)
Kocha wa Marekani ambaye ni mshambuliaji nyota wa zamani wa Ujerumani Jurgen Klinsmann na wachezaji wake wakishangilia bao la kwanza lililofungwa sekunde ya kwanza na Clint Dempsey pichani chini
Goli la dakika ya kwanza lililowekwa kimiani na Clint Dempsey na lingine la dakika za lala salama la rizevu John Brooks katika mchezo uliopigwa usiku uliopita mjini Natal, Brazil, ni magoli ambayo yameiwezesha Marekani kulipiza kisasi dhidi ya Ghana waliowafunga 2-1 na kuwafungasha virago...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
'Nilimtafuna binadamu kulipiza kisasi'
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Aua mgambo kulipiza kisasi
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikilia Elias Balandese na Faustine Fidel kwa tuhuma za mauaji ya askari mgambo, Shabani Mbadi mkazi wa Kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu kwa kumchoma na...
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Mourinho:'Kulipiza kisasi inakubalika EPL'
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
'Niliula mguu wa adui kulipiza kisasi' CAR
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Israel yaapa kulipiza kisasi kwa Hamas
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Afrika Kusini yajitoa mapema kuwa mwenyeji AFCON 2015
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-19pDQzx8Aww/XtvJ_5UNMFI/AAAAAAALs0Q/hwNoZcwF7O0qE4ZlQc8e_zryVOoopcmCwCLcBGAsYHQ/s72-c/s6.jpg)
KUNDI LA PILI LA WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI LINATARAJIWA KUREJEA NYUMBANI MAPEMA WIKI IJAYO
Kundi la pili la Watanzania waliokwama nchini Afrika Kusini kutokana na Lockdown nchini humo iliyosababishwa na ugonjwa wa Corona linatarajia kurejeshwa nchini mwanzoni mwa wiki ijayo mara tu baada ya taratibu za safari hiyo kukamilika, imefahamika.
Kwa mujibu wa ubalozi wa Tanzania nchini humo, jumla ya Watanzania 63 wamekuwa katika harakati za kutaka kurejea nyumbani lakini wamekwama kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kuchelewa kwa vibali vya kusafiri nje...
9 years ago
MichuziKANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA ZIADA ZA MWAKA 2015 ZA SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA YA MWAKA 2010
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA...