‘Tumeanza Bunge Maalumu la Katiba kwa kushindwa’
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba amesema mwanzo wao umekuwa mbaya, kutokana na wengi wao kuwa na misimamo ya vyama na makundi yaliyowapeleka kwenye Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Waraka maalumu kwa wabunge wa Bunge la Katiba
SALAMU kwenu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Kwanza nianze kuwaambia msidhani ubunge ni bonge la dili. Ni nafasi tu katika mgawanyo wa kazi, hivyo wale wanaoonekana wanajishaua waache mara...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
11 years ago
Michuzi16 Feb
mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LuibVj0oezc/UwUfG9TlmhI/AAAAAAAFOJE/fcx1MiG4AhE/s72-c/unnamed+(10).jpg)
wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma
Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba 1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa 2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Bunge Maalumu la Katiba kusambaratika?
RAIS wangu wahenga walisema, “Kinachowezekana leo kisingoje kesho”. Inaaminika kuwa akili zetu za leo hazijawahi kuwa kubwa kufikia ukubwa wa akili walizokuwanazo wahenga wetu. Ndiyo maana mpaka leo tunafikiri huku...
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba
11 years ago
Mwananchi04 Mar
‘Bunge Maalumu la Katiba limetekwa wanasiasa’
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Mtei alishukia Bunge Maalumu la Katiba