Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Wanariadha mna deni

 Rais Jakaya Kikwete aliangalia mechi yote ya fainali ya Kombe la Dunia na jana aliipongeza Ujerumani kwa kutwaa ubingwa, lakini baadaye jioni aliwaaga wanamichezo wa Tanzania  wanaoenda kwenye Michezo ya |Jumuiya ya Madola akisema wana deni kubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Bunge Maalum mna deni kwa Watanzania'

WABUNGE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuona wana deni kwa Watanzania la kuwapatia katiba nzuri ambayo italeta ustawi kwa miaka mingi ijayo. Hayo yalisemwa jana na Dora Mpilimbi ambaye ni balozi kiongozi katika kitongoji cha Chinangali mtaa wa Nala kata ya Nala wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari hizi.

 

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: ASHA BARAKA, CHOKI HIVI MNAJUA MNA DENI KUBWA?

Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho. NINAWAFAHAMU vizuri sana hawa watu wawili, dada Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mdogo wake, Ally Choki mwenye majina mengi ya kisanii, lakini mimi nikilipenda zaidi la Mzee wa Kizigo, kwa vile kwangu lina kumbukumbu ya mambo mengi. Hakuna utata kuwa Asha Baraka ni mmoja wa wanawake wapambanaji katika zama za sasa ambao taifa linaweza...

 

11 years ago

GPL

AMEKUSALITI? BADO MNA NAFASI NYINGINE

MAPENZI yamegeuka shubiri, usaliti na maumivu ya moyo yamegeuka na kuwa sehemu ya kawaida katika uhusiano wa kimapenzi. Zaidi ya asilimia 50 ya wanandoa, wanalia kuwa wanasalitiwa au waliwahi kusalitiwa na wenzi wao, si wanawake, si wanaume. Zipo sababu nyingi zinazosababisha usaliti lakini lengo langu leo siyo kuzungumzia hilo bali ni kujaribu kuiponya mioyo ya wanandoa au watu wanaoishi kwenye uhusiano wa kimapenzi,...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA BOBBY CHRISTINA, MASTAA MATEJA MNA HAMU NANYI YAWAKUTE?

JUMAPILI iliyopita, mtoto pekee wa waimbaji nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston na Bobby Brown aitwaye Bobbi Christina, alifariki dunia baada ya kuwa amelazwa tangu Januari mwaka huu, akiwa hajitambui. Bobbi, ambaye wazazi wake wote wawili walikuwa ni waathirika wa madawa ya kulevya, Januari 31, mwaka huu alikutwa ameanguka bafuni nyumbani kwake akiwa hajielewi na uchunguzi wa kitabibu ulionesha kwamba alianguka...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha: Wanariadha bado

Kocha wa timu ya taifa ya riadha, Boniface Kimisha amesema wanariadha wa Tanzania wanaoendelea na kambi China bado imeshindwa kuwasaidia kudadilisha viwango vyao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanariadha waandamana Kenya

Kundi la wanariadha waliojawa na hamaki limevamia makao makuu ya shirikisho la riadha nchini Kenya AK

 

11 years ago

Mwananchi

Wanariadha nyota kuchuana

>Wanariadha maarufu Tanzania, Mary Naali, Jacqueline Sakilu, Sarah Ramadhani, Andrew Sambu na Dickson Marwa ni miongoni mwa wakimbiaji watakaochuana kusaka ubingwa wa mbio za Kilimanjaro Marathon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya hatiani

Wanariadha wawili wa kike nchini Kenya, Viola Kimetto na Joyce Kiplimo, wamepigwa marufuku kushiriki riadha, baada ya Shirikisho la riadha Kenya, kugundua walikuwa wakitumia dawa za kuongezea nguvu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya walalama Scotland.

Kikosi cha Kenya katika mashindao ya Jumuiya ya madola mjini Glascow kinakabiliwa na wakati mgumu kutokana na ukosefu wa vifaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani