Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: ASHA BARAKA, CHOKI HIVI MNAJUA MNA DENI KUBWA?

Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho. NINAWAFAHAMU vizuri sana hawa watu wawili, dada Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mdogo wake, Ally Choki mwenye majina mengi ya kisanii, lakini mimi nikilipenda zaidi la Mzee wa Kizigo, kwa vile kwangu lina kumbukumbu ya mambo mengi. Hakuna utata kuwa Asha Baraka ni mmoja wa wanawake wapambanaji katika zama za sasa ambao taifa linaweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: TOP IN DAR INAKUWAJE TENA MZAZI?

KHALEED Mohamed, ni msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye uwezo usiotia shaka, kama utahitaji kujua kuhusu anachofanya. Na kama utasema utaje orodha ya wakongwe ambao bado wanatikisa katika ulimwengu wa Bongo Fleva ambao umetekwa na vijana, huwezi kumkosa katika watu wako Kumi Bora. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Top In Dar au kifupi TID. Top In Dar au kifupi TID ndilo jina lake maarufu la kisaniii, ingawa pia anafahamika...

 

11 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: MAMA WEMA HEBU KUWA MZAZI BASI!

NIANZE kwa kumuomba radhi sana mama mzazi wa msanii mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, aitwaye Mariam Sepetu. Ninafanya hivi kwa sababu ya jadi yetu waafrika, kwamba huwa siyo jambo la heshima, mwenye umri mdogo, kumweleza maneno ya ‘kuudhi’ mtu aliyemzidi umri. Wema Abraham Sepetu. Lakini inabidi nimweleze kidogo maneno ambayo ingawa siyo mabaya, nina uhakika hata hivyo, hatayapenda kwa sababu nyingi,...

 

11 years ago

GPL

ASHA BARAKA: SITAMSAMEHE CHOKI

Stori: Paparazi Wetu
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka, amesema kamwe hawezi kumsamehe mwanamuziki Ally Choki ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, ambaye ana bifu naye la muda mrefu. Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka akifunguka jambo katika ofisi za Global Publishers, zilizopo Bamaga Mwenge. Hivi karibuni habari zilienea kuwa...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL ILIVYOWAPATANISHA CHOKI, ASHA BARAKA!

Stori: Nyemo Chilongani/Ijumaa Wikienda
WAMEPATANA! Hatimaye Kampuni ya Global Publishers inayochapa gazeti hili na mengine ya Ijumaa, Uwazi, Risasi, Amani na Championi imefanikiwa kuwapatanisha wale mahasimu wawili ambao ni viongozi wa bendi mbili tofauti, Mkurugenzi wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mwenzake wa Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo Staili’, Ali...

 

11 years ago

GPL

CHOKI: NIKO TAYARI KUYAMALIZA NA ASHA BARAKA

Stori: Gladness Mallya MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki amesema yupo tayari kumaliza tofauti zake na bosi wake wa zamani anayemiliki kundi la African Stars, Asha Baraka. Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki
“Mimi niko tayari kuyamaliza na Asha Baraka, Global Publishers mlishajaribu kutukutanisha lakini sijui ilikuwaje, lakini kutokana...

 

11 years ago

GPL

CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki. KWENU,
Ali Choki na Asha Baraka. Kwanza poleni sana kwa majukumu yenu ya kila siku. Najua mchakamchaka mnaokutana nao kila siku. Mnapambana kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida, ingawa changamoto ni za kawaida.…

 

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA, ALI CHOKI SASA 'NO BEEF'

Ali Choki na Asha Baraka wakiwa ndani ya studio za Global TV Online leo wakati wa kumaliza bifu lao. BIFU lililodumu kwa muda mrefu kati ya Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka na Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki leo limemalizika rasmi katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge, Bamaga jijini Dar. Wakongwe hao katika muziki wa dansi wameamua kumaliza tofauti zao na kuwa kitu kimoja huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani