CHOKI: NIKO TAYARI KUYAMALIZA NA ASHA BARAKA
![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jwlj1*6MhX1o-ANGPfa2br--50S-AnMxhXa*N03tN8Q5h8IQor8z-pTSRD-e1oCXhxhEPLTl3T*ETQ6l6GIlexm/allychoki.jpg)
Stori: Gladness Mallya MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki amesema yupo tayari kumaliza tofauti zake na bosi wake wa zamani anayemiliki kundi la African Stars, Asha Baraka. Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki “Mimi niko tayari kuyamaliza na Asha Baraka, Global Publishers mlishajaribu kutukutanisha lakini sijui ilikuwaje, lakini kutokana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yi4kz*1pm6fCf9c49QNBiQvxnOU17h0hCAT7Op7atZhFFJL9mzNx0g2Tf30R-rImqUIFL*jRLZVCEyVcQ7yKwtS/CHOKI.jpg)
ASHA BARAKA: SITAMSAMEHE CHOKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV0eJ8PVZfCVQME6gqV0XjWQNtE8bntHRB-vLWnvsTB10pxn0EaKBSjKsXkF6IiA0YEsqoQzjJR5FKFfPdWlnmFk/choki.jpg)
GLOBAL ILIVYOWAPATANISHA CHOKI, ASHA BARAKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBDQrqFni8Y4DgrQ*zEdZwSzdukE2Szs2vV9T1CC*FrEhBATMFbKl-LkvXfDoRrOQH0WPnms0jjGPSX2-R0saus4/BARUANZITO.jpg)
CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Rj6jEYm8RNs/default.jpg)
10 years ago
GPLZA CHEMBE LAZIMA UKAE: ASHA BARAKA, CHOKI HIVI MNAJUA MNA DENI KUBWA?
10 years ago
GPL03 Feb
10 years ago
GPLASHA BARAKA, ALI CHOKI SASA 'NO BEEF'
10 years ago
CloudsFM30 Jun
Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia: Faiza
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.
Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.
Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...
11 years ago
Habarileo09 Jan
Zitto: Niko tayari
LICHA ya uongozi wa Chadema kutaka wanachama wa chama hicho kuacha kumpa ushirikiano Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, yeye amesema yuko tayari kufanya kazi na kiongozi yeyote wa chama hicho aliye tayari.