Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Niko tayari

LICHA ya uongozi wa Chadema kutaka wanachama wa chama hicho kuacha kumpa ushirikiano Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, yeye amesema yuko tayari kufanya kazi na kiongozi yeyote wa chama hicho aliye tayari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Niko tayari kupima afya - Lowassa.

Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema kuwa kumekuwa na tabia ya watu kuombeana mabaya na mojawapo ni kuzushiana magonjwa na amependekeza kuwa wakati umefika kwa Chama Cha Mapinuzi (CCM) kupima afya za wagombea wake wa urais ili kujua ukweli nani mgonjwa.

Kadhalika, amesema kuwa yeye ni mzima wa afya na yuko tayari kwa chochote katika mchakato wa mapambano ya kuwaletea wananchi...

 

9 years ago

Mwananchi

Niko tayari kukamatwa-Maalim Seif

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema yuko tayari kukamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka, kama kitendo chake cha kujitangazia ushindi ni kosa.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Niko tayari kwa mazungumzo na Ukawa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaMWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema ofisi yake ipo tayari kwa mazungumzo na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ikiwa ni njia ya kuwezesha mchakato wa kutunga Katiba kuendelea kwa pamoja na kwa amani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Buhari: Niko tayari kushauriana na Boko Haram

Buhari amesema yuko tayari kushauriana na Boko Haram kuhusu kuachiliwa kwa wasichana 200 waliotekwa nyara karibu miaka miwili iliyopita.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu Ethiopia:Niko tayari kukosolewa

Waziri mkuu nchini Ethiopia ameiambia BBC kwamba haogopi kukosolewa na waandishi licha ya sifa mbaya ya taifa hilo ya ukandamizaji uhuru wa kujieleza.

 

11 years ago

GPL

CHOKI: NIKO TAYARI KUYAMALIZA NA ASHA BARAKA

Stori: Gladness Mallya MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki amesema yupo tayari kumaliza tofauti zake na bosi wake wa zamani anayemiliki kundi la African Stars, Asha Baraka. Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ally Choki
“Mimi niko tayari kuyamaliza na Asha Baraka, Global Publishers mlishajaribu kutukutanisha lakini sijui ilikuwaje, lakini kutokana...

 

9 years ago

Bongo5

Niko tayari kumzalia Nay Wa Mitego — Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amesema kuwa yuko tayari kubeba ujauzito wa mpenzi wake Nay Wa Mitego endapo wawili hao watakubaliana kupata mtoto. Baada ya kukiri kuwa kwenye uhusiano, Shamsa ambaye ni mama wa mtoto mmoja amesema hana tatizo kubeba ujauzito wa muimbaji huyo. Shamsa aliyasema hayo alipoulizwa na jarida la Baabkubwa kama yuko […]

 

10 years ago

CloudsFM

Niko tayari kuwa Baba wakambo wa Watoto wa Salima

Msanii wa muziki wa bongo fleva Sunday Mjeda maarufu kama Linex ambaye anatamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Salima leo amefunguka kupitia kipindi cha Clouds360 na kusema idea ya wimbo huo imetokana na salma ambaye alikuwa rafiki yake wakati anasoma Shule ya msingi na alikuwa msaada wake katika baadhi ya vitu vya shule Linex aliendelea kufunguka na kusema Anatamani siku moja aje kuwa Baba wa kambo wa watoto wa salima kwani anaona anampenda salima kiukweli japo Salima hataki ata kuongea...

 

10 years ago

Mwananchi

Jimy Iyke: Niko tayari kufanya chochote kwa ajili ya watoto

Muonekano wa sura yake na nafasi ambazo mara nyingi hupangiwa kucheza kwenye filamu humfanya kuonekana mwanaume katili na asiye na chembe ya huruma ndani ya moyo wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani