Maaskofu wanyanyasaji sasa mashakani
Papa Francis ameidhinisha kuundwa kwa idara mpya itakayokuwa na mamlaka ya kuwawajibisha maaskofu wa kanisa katoliki wanaotuhumiwa kuwanyanyasa watoto kingono .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Wanawake sasa kuwa maaskofu - Anglikana
Baraza kuu la kanisa la Kianglikana Uingereza, The General Synod, limeidhinisha wanawake kuwa maaskofu.
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Polisi wanyanyasaji wapatikana
Watu walioshuhudia wachukua kanda ya video ya polisi ambaye alikuwa akimpiga mtu aliyelala na mijeledi.
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Polisi wanyanyasaji kuchunguzwa Kenya
Polisi nchini Kenya wameanzisha uchunguzi wa picha zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha maafisa wa polisi wakiwachapa viboko raia wa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Oxfam:Wanajeshi wa DRC ni wanyanyasaji
Oxfam limesema kuwa dhuluma zinazoendeshwa na wanajeshi mashariki mwa jamhuri ya DRC ni sawa na zile zinazoendeshwa na waasi.
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo
Watu ambao huiba, kunyanyasa watu na kusema uwongo katika maisha yao yote wanaweza kuwa na ubongo mdogo, watafiti wanasema.
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Wanasayansi waazimia kuwatambua wanyanyasaji kupitia mikono yao
Utafiti unatumai kugundua ikiwa mikono yetu ni ya kipekee kwa kuangalia tofauti za maumbile
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
UN:Wanoafadhil wapiganaji mashakani
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa pamoja limeamua kuwawekea vikwazo watu wanaowafadhili wapiganaji.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Majaji 34 Ghana mashakani
Jaji mkuu wa Ghana amehutubia nchi kuhusu kashfa kubwa ya rushwa dhidi ya majaji
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Wakeketaji mashakani Uganda
Watu watano wakiwemo wanawake na wanaume wamekamatwa na polisi nchini Uganda kutokana na kuwakeketa wasichana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania