Wanaowaficha wagonjwa wa Ebola mashakani
Bunge la Sierra Leone limepitisha sheria inayotoa hukumu ya miaka miwili jela kwa mtu atakayemficha mgonjwa wa Ebola.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
AU:Wagonjwa wa Ebola wasibaguliwe
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wagonjwa 17 wa ebola ‘watoweka’
WATU 17 wenye homa ya ebola wametoweka nchini Liberia baada ya kituo kinachohudumia wagonjwa hao kuvamiwa, imethibitisha Serikali ya Liberia.
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
WHO:70% ya wagonjwa wa Ebola wanakufa.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wagonjwa wa Ebola waongezeka Guinea
11 years ago
Habarileo13 Aug
Hospitali za wagonjwa wa ebola zatajwa
PAMOJA na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Ebola:Wagonjwa warejeshwa nyumbani
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mali haina wagonjwa wapya wa Ebola
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Wagonjwa wa Ebola wasakwa Sierra Leone