Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali za wagonjwa wa ebola zatajwa

PAMOJA na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani

DSC00581

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).

DSC00583

Mbunge wa  Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...

 

5 years ago

Michuzi

THBUB yatembelea wagonjwa hospitali ya rufaa Dodoma

 Kamishna wa THBUB, Dkt. Fatma Khalfan (kulia) na Kamishna Amina Talib Ali (kushoto) wakitoa mkono wa pole kwa mmoja wa wazazi waliojifungua katika Hospitali ya rufaa jijini Dodoma walipotembelea kuwaona wagonjwa mapema leo Machi 6, 2020. 
 Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Enid Chiwanga (kushoto) akiongea na ujumbe wa THBUB (mbele yake) uliotembelea Hospitali ya rufaa jijini Dodoma mapema leo Machi 6, 2020. Ujumbe ...

 

5 years ago

CCM Blog

WAGONJWA WA CORONA WALAZIMISHA KUONDOKA HOSPITALI YA AMANA



Wagonjwa wa corona waliowekwa karantini katika hospitali ya Amana wamelazimisha kuachiwa na kuruhusiwa kurudi majumbani mwao.
Mkuu wa wilaya wa Ilala, Sophia Mjema athibitisha na kusema kuwa kuna baadhi ya wathirika wa CoronaVirus walikuwa kwenye kituo maalum katika Hospitali ya Amana walikuwa wakilazimisha kurudi makwao wakidai wanajisikia vizuri.

Na zile taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wagonjwa hao wanadaiwa kuondoka kwa kukimbia na kupanda daladala, Mjema amesema...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA AMANA IPO TAYARI KUPOKEA WAGONJWA WA CORONA


NA ZAMARADI KAWAWA, MAELEZO, DAR ES SALAAMSerikali imehamisha wagonjwa wote waliokuwa wakipata huduma za afya katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana iliyopo Manispaa ya Ilala, ili kuanza kutekeleza jukumu la kutumia hospitali hiyo kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wa Corona (COVID – 19).

Akizungumza na Watumishi wa hospitali hiyo mara baada ya kutembelea majengo yatakayotumika kuwalaza wagonjwa wa Corona (COVID-19), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya Mt. Meru yakabiliwa na upungufu wa mashuka ya kujifunikia wagonjwa

 

unnamed (1)

Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group, Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt Meru, Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo, jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh. 2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni Makamu mwenyekiti wa kikundi hicho, Jasmine Kiure.

unnamed

Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine...

 

10 years ago

GPL

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAWATEMBELEA WAGONJWA, HOSPITALI YA PALESTINA

Waumini hao wakimjulia hari majeruhi wa ajali ya pikipiki alitelekezwa hospitalini hapo na rafiki zake. Hapa wakimtembelea mgonjwa mwingine.
Waumini hao wakijadiliana kwa muda kabla ya kufanya dua kwa wagonjwa wote. Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Msikiti wa An nuru uliopo Sinza, Palestina jijini Dar mapema leo hii wamewatembelea…

 

9 years ago

StarTV

Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao

Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.

Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka  235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.

Wagonjwa mbalimbali...

 

5 years ago

CCM Blog

MARUFUKU WAGANGA WA JADI KUPOKEA WAGONJWA WASIO NA RIPOTI YA HOSPITALI

  Katika jitihada za kupambana na Ugonjwa wa Corona, Chifu wa Mkoa wa Songwe Mbeshena Nzunda ametoa marufuku kwa waganga wa jadi kupokea mgonjwa yeyote ambaye hana ripoti itakayo onyesha tatizo husika limeshindwa kutatuliwa hospitalini.

Chifu Nzunda amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Amani ya Mkoa ilipokutana kujadiliana hatua zaidi za tahadhari zinazo paswa kuchukuliwa na Mkoa wa Songwe ili kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Amesema ili mgonjwa apate matibabu kwa mganga wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani