Hospitali ya Mt. Meru yakabiliwa na upungufu wa mashuka ya kujifunikia wagonjwa
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group, Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt Meru, Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo, jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh. 2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni Makamu mwenyekiti wa kikundi hicho, Jasmine Kiure.
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Sep
Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao
Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.
Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka 235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.
Wagonjwa mbalimbali...
9 years ago
StarTV16 Nov
Wagonjwa vituo vya afya Tanga kutumia mashuka yao kutokana na uhaba wa mashuka
Uhaba wa mashuka katika vituo vya afya mkoani Tanga umesababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi jambo ambalo halikubaliki kiafya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza amekiri kuwepo kwa tatizo hilo ambalo limekuwa likisababisha usumbufu kwa wagonjwa wanaohudumiwa katika vituo hivyo.
Mahiza amesema hayo wakati akipokea msaada wa mashuka kutoka Mfuko wa Bima ya Afya NHIF kwa ajili ya kukabiliana na tatizo hilo katika mkoa wa Tanga.
Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga inajumla ya...
11 years ago
MichuziSHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO
11 years ago
MichuziMABWENI YA WASICHANA YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VITANDA
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Ustawi wa Jamii yakabiliwa na upungufu wa watumishi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Afya kupitia idara ya ustawi wa jamii, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa maafisa ustawi wa jamii katika halmashauri wanazotoa huduma kwa watoto walio katika mikinzano na sheria.
Idara hiyo imekuwa ikishirikiana pamoja na wadau mbalimbali kama vile polisi, Mahakama, magereza, tume ya haki za binadamu na utawala bora pamoja na mashirika mbalimbali ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika...
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Singida yakabiliwa na Upungufu wa watumishi sekta ya Afya
Mkuu wa wilaya ya Singida.Queen Mlozi, akizungumza kwenye kikao cha mrejesho wa utafiti uliofanywa na timu ya ufuatiliaji na uwajibikaji jamii (Social Accountability Monitoring-SAM) kilichofanyika mjini Singida.Timu ya SAM kwa kushirikiana na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida,kwa pamoja walifanya utafiti juu ya uwajibikaji kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya.Kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida,Idd Mnyampanda nas kulia ni mwenyekiti wa kikao...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wagonjwa walazwa bila mashuka Tumbi
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Hospitali ya Mwananyamala yapewa mashuka 200
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Hospitali ya Mwananyamala, kutokana na kuzidiwa na wagonjwa huku miundombinu ikiwa ni ile ile.