SHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO
Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana. Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Simeone Lihuluku. Diwani wa kata ya Mgama, Denis Lupala akimpakulia chakula mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana baadhi ya wanafunzi shule ya sekondari ya Mgama wakiwa katika foleni ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Ustawi wa Jamii yakabiliwa na upungufu wa watumishi
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Na Mwandishi wetu
Wizara ya Afya kupitia idara ya ustawi wa jamii, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa maafisa ustawi wa jamii katika halmashauri wanazotoa huduma kwa watoto walio katika mikinzano na sheria.
Idara hiyo imekuwa ikishirikiana pamoja na wadau mbalimbali kama vile polisi, Mahakama, magereza, tume ya haki za binadamu na utawala bora pamoja na mashirika mbalimbali ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika...
11 years ago
MichuziMABWENI YA WASICHANA YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VITANDA
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Singida yakabiliwa na Upungufu wa watumishi sekta ya Afya
Mkuu wa wilaya ya Singida.Queen Mlozi, akizungumza kwenye kikao cha mrejesho wa utafiti uliofanywa na timu ya ufuatiliaji na uwajibikaji jamii (Social Accountability Monitoring-SAM) kilichofanyika mjini Singida.Timu ya SAM kwa kushirikiana na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida,kwa pamoja walifanya utafiti juu ya uwajibikaji kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya.Kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida,Idd Mnyampanda nas kulia ni mwenyekiti wa kikao...
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Hospitali ya Mt. Meru yakabiliwa na upungufu wa mashuka ya kujifunikia wagonjwa
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group, Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt Meru, Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo, jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh. 2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni Makamu mwenyekiti wa kikundi hicho, Jasmine Kiure.
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine...
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Shule ya msingi Misufini yafikisha miaka 40, yakabiliwa na changamoto kubwa
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo Hilo alifanya Ukaguzi na Kuikuta Shule Hiyo Ikiwa Katika Hali Mbaya Vyumba vya Madarasa ni Chakavu,Havina Milango Wala Madirisha Licha Ya shulie Hiyo Kuafulisha wanafunzi kwa Kiwango Kikukbwa Ndani ya Wilaya ya Morogoro Mjini.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Shule ya Mugeza Mseto haina vyoo
SHULE ya Msingi Mugeza Mseto inakabiliwa na ukosefu wa vyoo na bafu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa viungo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Philemon Coelestine, alibainisha hayo juzi alipokuwa akitoa...
9 years ago
Vijimambo24 Aug
UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Shule yachangiwa fedha kujenga vyoo
WAKUU wa Idara Manispaa ya S u m b a w a n g a mkoani Rukwa wamelazimika kuchanga zaidi ya Sh 350,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo shule ya msingi Mazintiswe. Shule yenye wanafunzi 1,104 na walimu wao 24 inakabiliwa na adha ya kutokuwa na vyoo kwa miezi tisa sasa .
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10